Mko wapi sasa?

Mlianza kwa kupeana majina kama honey, darling, sweetheart, babe, honey bunny, sweetie, bear, poppy, cutie, sunshine, then mkaenda sugar...

Kwa sasa mko wapi?

Kati ya combo iliyobamba ni ile ya "Mambo yao tuwaachie Wenyewe" na "Mapikipiki" ,Demu alikuwa anamjaza jamaa sana kumbe alikuwa anapiga show za nje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…