Mkiweza kudhibiti hapa mko salama

Mkiweza kudhibiti hapa mko salama

Hivi mnaimagine huo ukanda wenu ndo mmpigiwe kura? ili tutengeneze norrhern republic?
 
Sasa ndio nini hiki umeandika? Mbona kama mmeanza kulia maumivu ya sindano ata kabla hamjachomwa?
VIVA UKAWA!!!
 
Hivi mnaimagine huo ukanda wenu ndo mmpigiwe kura? ili tutengeneze norrhern republic?

Wewe gamba tulia dawa ikuingie sawasawa hakuna cha ukanda hapa ni kumwondoa mkoloni mweusi tu.
 
Namba 1 hapo pagumu maana vituo 72000 ina maana waliojiandikisha ni 32m+ kwani NEC wamesema kila kituo ni watu 450 tu.Hivyo wanalazimika kulipa mawakala 20,000 ambao ni vituo hewa ili kuwadhoofisha,hata hivyo kuna vyama mpaka sasa havina rasilimali fedha kwa kazi hiyo
 
Hii kweli ni contradiction kwa TUME YA UCHAGUZI maana ni kweli walisema kituo kimoja kitakuwa na wapiga kura 450 tu!

Sasa kwa vituo 72,000 maana yake ni sawa wapiga kura 32,400,000 sawa na ziada ya voters 9,400,000 kutoka ktk idadi ya walioandikishwa ya 23,000,000!!
Hao waliozidi yaani wale 9,400,000 ni sawa na vituo 20,888!!

Ni bao la mkono, wizi au kupitiwa kwa NEC??
 
Ngoja tusubiri majibu ya NEC maana wanajipambanua kuwa wako wazi kipindi hiki hasa kwa kufanyiakazi hoja mbalimbali kama kubandika matokeo ya rais,kukagua mfumo wa kujumulishia matokeo ya urais na kutumia kalamu nje na ya Tume.
 
Imekaa vibaya
 
Jitoeni kwenye uchaguzi kama hamna imani na tume, mnatuchosha na malalamiko yenu ya kila kukicha
 
Wajue n.vituo vikovingap...nahisi watajaza wingisa.awa vituofeki..
 
Jitoeni kwenye uchaguzi kama hamna imani na tume, mnatuchosha na malalamiko yenu ya kila kukicha

Ndugu yangu, wajitoe ili mpate ushindi wa mezani? Hapa hajitoi mtu ni kujipanga vyema kuudhibiti bao la mkono, msipende mteremko.
 
1. Mawakala wenu wasinunuliwe kupindua matokeo.

2. Wabunge wenu wasinunuliwe kuuza ushindi.

3. Mjue idadi kamili ya wapiga kura na itangazwe rasmi.

Asanteni.

mim kama nalipwa ielfu 50..60.. japo sijui kama wadau watafika huko halafu ccm anakuja na bahasha ya maana lets say 3..4..6 m . hata MBOWE atanishangaa kama nikiachia huo mpunga shekhe ukizingatia baada ya hapo sitajua hatma ya maisha yangu .. huku akina mbowe wakigawana ma bili ya ED
 
njaa mbaya sana ! Baada ya kujua haya serikali ya UKAWA imeahidi kuboresha uchumi wa walimu wa shule zote wakiwemo walimu wa shule za msingi kama wewe .
 
Back
Top Bottom