The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 4,070
- 10,872
Waache waje..Kuweni waangalifu. Hii ni dormant ID. Ipo tangu 2011. Hii ni ID ya kazi. Wenye D mbili bila shaka mtakuwa mmenielewa. Kuweni waangalifu!
View attachment 3364754
Chadema hawana sifa ya kushiriki uchaguzi.Wakiruhusiwa kushiriki uchaguzi nafungua kesi mahakamaniKatika siasa, kaulimbiu na propaganda ndizo karata zinazounogesha mchezo wa uchaguzi. Kila mshindani wako anapochanga karata zake, timu yako lazime ichange karata zako. Hiki ndicho kilichotokea kuelekea October 2025.
Wakati CHADEMA wanaendelea na campaign ya No reform no election, CCM wamekuja na ilani ya uchaguzi inayoahidi katiba mpya ambayo kimsingi ndio reforms zinazodaiwa. Kwa lugha rahisi hili ni tamko thabiti kuwa, MKITAKA REFORMS, MKAPIGE KURA.
Sasa mpira upo kwa wapiga kura, kuhusu njia gani waitumie kupata reforms, kwa kushiriki uchaguzi kama wanavyohimizwa na CCM? Au kwa kuzuia uchaguzi kama wanavyohimizwa na CHADEMA. Nachelea kusema kama mnayo nia thabiti ya kuleta mabadiliko ya katiba, basi njia rahisi kati ya hizi ni kuchagua CCM.
Kwa faida ya wasomaji, Misingi na Malengo Kuu ya Ilani 2025-2030 ni kama ifuatavyo:
1. Kuendeleza Uchumi wa Viwanda na Biashara Ndogo (TEHAMA)
Kuimarisha mazingira ya biashara na kukuza uwezo wa viwanda vya ndani, pamoja na kuwawezesha wafanyabiashara wa TEHAMA kupitia mikakati ya kifedha na kiutawala.
2. Uboreshaji wa Huduma za Kijamii Vijijini
Kupanua upatikanaji wa maji safi, huduma za afya, elimu bora, na nishati kwenye maeneo ya vijijini kwa kuzingatia ufanisi na uendelevu.
3. Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi.
Kupanda miti milioni 100 kila mwaka ili kudumisha misitu, kudumisha mazingira, na kuongeza mvua .
4. Kuimarisha Diplomasia ya Kiuchumi na Usalama wa Taifa
Kukuza ushirikiano wa kimataifa, kulinda rasilimali za taifa (gesi, madini, misitu), na kuimarisha usalama wa ndani na nje.
5. Katiba Mpya ya Muungano
Kwa mara ya kwanza, Ilani ya CCM imeipa kipaumbele kuongoza mchakato wa Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano ndani ya miaka mitano ijayo, ikilenga kujibu mahitaji ya kisasa kijamii, kiuchumi, na kisiasa
1. Ni wito wa mabadiliko ya mfumo mzima wa chaguzi zetu zote zinazotupatia viongozi wa kusimamia rasrimali asili zetu kwa maendeleo yetu wananchi na sio "mabadiliko ya uchaguzi" tu kama unavyowaza wewe...No reforms No election, ni wito wa mabadiliko ya uchaguzi au campaign against personality? It looks tunaongelea vitu viwili tofauti?
Kwahiyo WEWE ulienda kusomea UJINGA mpaka level ya PHD?? Sio kwa matapishi haya ambayo walitakiwa wapost akina LUKAS π€π€π€£π€£ kweli Kuna safari ndefu ya watu waanaojiita wasomi!! Yaani mtoa Uzi ana very POOR REASONING π π π π€£π€£π€π€Katika siasa, kaulimbiu na propaganda ndizo karata zinazounogesha mchezo wa uchaguzi. Kila mshindani wako anapochanga karata zake, timu yako lazime ichange karata zako. Hiki ndicho kilichotokea kuelekea October 2025.
Wakati CHADEMA wanaendelea na campaign ya No reform no election, CCM wamekuja na ilani ya uchaguzi inayoahidi katiba mpya ambayo kimsingi ndio reforms zinazodaiwa. Kwa lugha rahisi hili ni tamko thabiti kuwa, MKITAKA REFORMS, MKAPIGE KURA.
Sasa mpira upo kwa wapiga kura, kuhusu njia gani waitumie kupata reforms, kwa kushiriki uchaguzi kama wanavyohimizwa na CCM? Au kwa kuzuia uchaguzi kama wanavyohimizwa na CHADEMA. Nachelea kusema kama mnayo nia thabiti ya kuleta mabadiliko ya katiba, basi njia rahisi kati ya hizi ni kuchagua CCM.
Kwa faida ya wasomaji, Misingi na Malengo Kuu ya Ilani 2025-2030 ni kama ifuatavyo:
1. Kuendeleza Uchumi wa Viwanda na Biashara Ndogo (TEHAMA)
Kuimarisha mazingira ya biashara na kukuza uwezo wa viwanda vya ndani, pamoja na kuwawezesha wafanyabiashara wa TEHAMA kupitia mikakati ya kifedha na kiutawala.
2. Uboreshaji wa Huduma za Kijamii Vijijini
Kupanua upatikanaji wa maji safi, huduma za afya, elimu bora, na nishati kwenye maeneo ya vijijini kwa kuzingatia ufanisi na uendelevu.
3. Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi.
Kupanda miti milioni 100 kila mwaka ili kudumisha misitu, kudumisha mazingira, na kuongeza mvua .
4. Kuimarisha Diplomasia ya Kiuchumi na Usalama wa Taifa
Kukuza ushirikiano wa kimataifa, kulinda rasilimali za taifa (gesi, madini, misitu), na kuimarisha usalama wa ndani na nje.
5. Katiba Mpya ya Muungano
Kwa mara ya kwanza, Ilani ya CCM imeipa kipaumbele kuongoza mchakato wa Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano ndani ya miaka mitano ijayo, ikilenga kujibu mahitaji ya kisasa kijamii, kiuchumi, na kisiasa
Ni kweli ccm wanaweza kufanya mabadiliko ya katiba, je ni mabadiliko yanayotakiwa na wananchi ama ni mabadiliko ya hila ili kusema tumeshaleta katiba mpya?Ndio maana CCM inataka kufanya mabadiliko ya katiba, kwasababu sio chama cha kinyonyaji.
Kwani katiba mpya si ilishaandikwa na CCM tokea 2014 ilisubiri kura ya maoni? Sasa mchakato mpya wa nini tena?5. Katiba Mpya ya Muungano
Kwa mara ya kwanza, Ilani ya CCM imeipa kipaumbele kuongoza mchakato wa Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano ndani ya miaka mitano ijayo, ikilenga kujibu mahitaji ya kisasa kijamii, kiuchumi, na kisiasa
Uteuzi huu unakutatiza nini?Januari 02, 2015 - Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete alimteua George Mcheche Masaju kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, sasa Rais Samia amemtua kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania
Wanaojiita wanachama wa CCM someni hapa,kama hamtanielewa nitawaelewesha.
No Reforms,No election
Kutoka katika misaafu rasmi ya CCM, ni sera ipi uliyoiona inahatarisha maslahi ya nchi? Umezungumzia katiba mpya kukwama, Je, wabunge wa CHADEMA kususa kuendelea na majadiliano, hakukuwa na mchango kukwamisha mchakato? Si vyema kukipachika chama sifa ambayo huwezi kuithibitisha.Kwani katiba mpya si ilishaandikwa na CCM tokea 2014 ilisubiri kura ya maoni? Sasa mchakato mpya wa nini tena?
Yaani bunge lenye CCM 100% unatarajia litunge katiba yenye maslahi kwa nchi? Hilo litakua chaka la kupigia pesa tu.
Katiba mpya ni muafaka wa kitaifa, sio sera ya chama kimoja cha siasa. Katiba nzuri inatakiwa ijunuishe mawazo ya makundi yote ya wananchi, sio wanasiasa peke yao.Ni kweli ccm wanaweza kufanya mabadiliko ya katiba, je ni mabadiliko yanayotakiwa na wananchi ama ni mabadiliko ya hila ili kusema tumeshaleta katiba mpya?
Uko sahihi, tatizo kubwa wananchi wa nchi hii huwa hawana uthubutu wa kuweka wazi madai yao. Wanasiasa ndio wamekuwa wakifanya kazi hiyo. Kwasasa tunaona wanasiasa ndio wenye uthubutu wa kutaka katiba mpya, hayo makundi mengine yako kimya, ila siku mchakato ukianza utashangaa kuona hata ambao hawajawahi kutamka kwa bahati mbaya Katiba mpya, wakiwa mstari wa mbele kuonyesha walivyokuwa wanataka katiba mpya!Katiba mpya ni muafaka wa kitaifa, sio sera ya chama kimoja cha siasa. Katiba nzuri inatakiwa ijunuishe mawazo ya makundi yote ya wananchi, sio wanasiasa peke yao.
Watz hawahitaji Katiba mpya, wanahitaji huduma nzuri za afya, elimu bora, pesa za kuweka kujikimu kimaisha na kuweza kufurahia na familia zao.Katika siasa, kaulimbiu na propaganda ndizo karata zinazounogesha mchezo wa uchaguzi. Kila mshindani wako anapochanga karata zake, timu yako lazime ichange karata zako. Hiki ndicho kilichotokea kuelekea October 2025.
Wakati CHADEMA wanaendelea na campaign ya No reform no election, CCM wamekuja na ilani ya uchaguzi inayoahidi katiba mpya ambayo kimsingi ndio reforms zinazodaiwa. Kwa lugha rahisi hili ni tamko thabiti kuwa, MKITAKA REFORMS, MKAPIGE KURA.
Sasa mpira upo kwa wapiga kura, kuhusu njia gani waitumie kupata reforms, kwa kushiriki uchaguzi kama wanavyohimizwa na CCM? Au kwa kuzuia uchaguzi kama wanavyohimizwa na CHADEMA. Nachelea kusema kama mnayo nia thabiti ya kuleta mabadiliko ya katiba, basi njia rahisi kati ya hizi ni kuchagua CCM.
Kwa faida ya wasomaji, Misingi na Malengo Kuu ya Ilani 2025-2030 ni kama ifuatavyo:
1. Kuendeleza Uchumi wa Viwanda na Biashara Ndogo (TEHAMA)
Kuimarisha mazingira ya biashara na kukuza uwezo wa viwanda vya ndani, pamoja na kuwawezesha wafanyabiashara wa TEHAMA kupitia mikakati ya kifedha na kiutawala.
2. Uboreshaji wa Huduma za Kijamii Vijijini
Kupanua upatikanaji wa maji safi, huduma za afya, elimu bora, na nishati kwenye maeneo ya vijijini kwa kuzingatia ufanisi na uendelevu.
3. Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi.
Kupanda miti milioni 100 kila mwaka ili kudumisha misitu, kudumisha mazingira, na kuongeza mvua .
4. Kuimarisha Diplomasia ya Kiuchumi na Usalama wa Taifa
Kukuza ushirikiano wa kimataifa, kulinda rasilimali za taifa (gesi, madini, misitu), na kuimarisha usalama wa ndani na nje.
5. Katiba Mpya ya Muungano
Kwa mara ya kwanza, Ilani ya CCM imeipa kipaumbele kuongoza mchakato wa Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano ndani ya miaka mitano ijayo, ikilenga kujibu mahitaji ya kisasa kijamii, kiuchumi, na kisiasa
Huna haja ya kutukana.....ongea kwa hojaAkili za ng'ombe ni za ng'ombe tu,hv mwaka jana nchi ilikuwa kwenye nn sio kwenye uchaguzi? nn kilitokea ww mwenye mtindio wa ubongo,naona kama vile umeweka kichwa pembeni umegeuza mnduku wako ndio unautumia kufikiri.Mm nakwambia NO REFORMS NO ELECTION ni muhimu hata kwako na kizazi chako ambacho naamini ipo siku kitakulaumu na kusikitika kwa ugonjwa ulioupata unaosababisha ww kunatumia mnduku kufikiri NO REFORMS NO ELECTION itakusaidia ili siku Moja Ukatibiwe India baada ya kuathirika na ugongwa unaoitwa CCM.Wenye Masters wanaambiwa hawajui kusoma kwenye uchaguzi ila wanaotumia minduku ndio wanajua kusoma ila CCM ni janga kamili kabisa kwa Taifa.
Jibu swali, mchakato wa katiba mpya si ulifikia stage ya kura ya maoni je ulikwama wapi?Kutoka katika misaafu rasmi ya CCM, ni sera ipi uliyoiona inahatarisha maslahi ya nchi? Umezungumzia katiba mpya kukwama, Je, wabunge wa CHADEMA kususa kuendelea na majadiliano, hakukuwa na mchango kukwamisha mchakato? Si vyema kukipachika chama sifa ambayo huwezi kuithibitisha.
Kwanza, safari yangu ya shule ilikuwa ni kusoma kutibu maradhi ya binadamu, sio kusoma No reform, No election. Pili itikadi za kisisas siyo kipimo ya akili za watu, kama ukomo wako wa kufikiri umeishia kuwa No reform no election ndio IQ test. Basi unatatizo kubwa la akili linalohitaji ukatibiwe. Mwisho; lugha zisizo na staha zinakudhalilisha, watu waungwana hujibu hoja kwa hoja, kutukana ni kielelezo cha uduni wa fikra.Kwahiyo WEWE ulienda kusomea UJINGA mpaka level ya PHD?? Sio kwa matapishi haya ambayo walitakiwa wapost akina LUKAS π€π€π€£π€£ kweli Kuna safari ndefu ya watu waanaojiita wasomi!! Yaani mtoa Uzi ana very POOR REASONING π π π π€£π€£π€π€
Siku utakapojifunza kutofautisha agenda na personality utakuwa umepevuka kwenye siasa. Siasa sio mapenzi, kwamba unachagu wako na kukubaliana kufa na mapungufu yake. Siasa ni jukwaa la kujadili maswala yahusuyo maisha ya watu wetu. Hoja nzuri inachukuliwa nakutelekezwa bila kujali imetolewa na nani? Dr Slaa ali-campaign kutoa elimu bure akiwa anagombea urais, ingawa mwanzo CCM walisema haiwezekani alipokuja JPM alitekeleza. Hiyo ndio siasa yenye tija.1. Ni wito wa mabadiliko ya mfumo mzima wa chaguzi zetu zote zinazotupatia viongozi wa kusimamia rasrimali asili zetu kwa maendeleo yetu wananchi na sio "mabadiliko ya uchaguzi" tu kama unavyowaza wewe...
2. You are asking if it's a campaign against personality, right..?
The answer is big YES. Kinachotoka ndani ya moyo wa mtu ndicho kinacho introduce na ku define personality ya mtu huyo. Ulichokiandika hapa kinatoka moyoni mwako, ndiyo personality yako. Tukipinga hoja zako, maana yake na personality (haiba) yako inakuwa destroyed moja kwa moja..!
So, be very carefully with what comes in your mind through your mouth because it can either destroy your reputation (personality) or maintain it..
#NoReformsNoElection