Mkishindwa kutimiza ndoto zenu, msiwapake matope wanaotimiza zao

Kalamu Nzito

JF-Expert Member
Aug 13, 2015
318
662
Ukishindwa kutimiza ndoto zako, kubali kujifunza kwa waliotimiza zao, zenye mfanano na ndoto zako.

Kuanza kuwapaka matope na kutafuta visingizio hakukusaidii wewe kuvuka hapo ulipo.

Zaidi tu utaendele kua na uchungu mwisho wa siku utapelekwa leba ukajifungue sasa.

TUKUBALI KUJIFUNZA!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom