Ukizungumzia maendeleo ya kanda ya Kaskazini usisahau kuna kanda ya ziwa pia.
Siku zote ni huwa Mwanza vs Arusha na Moshi vs Kagera na si Chato vs Kaskazini.
Lakini kwanini haya yote ni chato kama si ubinafsi wakati Kagera hawana hata stendi ya mabasi ya kueleweka.
Nakumbuka msemo huu tulioutumia sana ingawa simkumbuki msemaji "The most important resource for development is people and not money. They only need to be empowered and enabled" mwisho wa kunukuuKubadili mindset kwanza
Jr[emoji769]
Yerooooo makijana yangu,wewe naletea morani masarau eeee,mambo iko ni mutandao ati!Tutachukua Maasai kutoka Ngorongoro kuwahamishia burigi
Hakuna lisilowezekana katika Awamu hii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tutachukua Maasai kutoka Ngorongoro kuwahamishia burigi
Hakuna lisilowezekana katika Awamu hii
Wachaga na watu wa Kas kazini acheni kuishi Tanznaia ya Miaka 30 iliyopita!
Sasa hivi kila mtanzania ana exposure, amesoma, siyo kama zamani mchaga pekee ndio alikuwa biashara anajua yeye, kazi za maofisini anajua yeye tu!
Sasa hivi kila mtu ni mjanja. Fursa ikijitokeza kila Kabila linaiona na kuifanyia kazi.
Sasa ndugu zangu wa Kas kazini bado mna akili za miaka ya nyuma hamtaki kukubali ukweli kwamba fursa mlizokuwa mnazi fanya ninyi siku hizi kila mtanzania anamudu kuzifanya! Ndio maana mnaona kama mnaonewa na utawala huu maana kila mnapoenda mnakuta watu wameshawahi[emoji23][emoji23][emoji23]
Kubalini kwamba watanzania wa kila Kabila wanasoma na wamejanjaruka siku hizi.
Hakuna kinachodumu milele. Poleni.
Sent using Jamii Forums mobile app
msoga cha mtoto
Nakumbuka msemo huu tulioutumia sana ingawa simkumbuki msemaji "The most important resource for development is not people and not money (material things). They only need to be empowered and enabled" mwisho wa kunukuu
Mshana bhana! Kwahiyo hii hoja yako point yake ni ipi sasa? Wakati umesema katika sehemu zote zilizopendelewa kiuchumi bado watu wa Kas kazini wameshika nafasi za juu?Ndio maana mnaona kama mnaonewa na utawala huu maana kila mnapoenda mnakuta watu wameshawahi[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mahali nimetaja uonevu? Kuna mahali nimetaja kabila lolote? Anyway ni mjadala hivyo una mengi ndani yake
Jr[emoji769]
Mshana bhana! Kwahiyo hii hoja yako point yake ni ipi sasa? Wakati umesema katika sehemu zote zilizopendelewa kiuchumi bado watu wa Kas kazini wameshika nafasi za juu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ndo nilileta tetemeko? Ndo majibu waliyopewa watu wa kagera walipopatwa na majanga.Ukizungumzia maendeleo ya kanda ya Kaskazini usisahau kuna kanda ya ziwa pia.
Siku zote ni huwa Mwanza vs Arusha na Moshi vs Kagera na si Chato vs Kaskazini.
Lakini kwanini haya yote ni chato kama si ubinafsi wakati Kagera hawana hata stendi ya mabasi ya kueleweka.
Well understood brother. Japo watu wa kanda ya ziwa nao ni wachapa kazi inaweza ikawa Turn up nzuri kwao
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nadhani dhana hizo hazipo tena kwasababu kupata taarifa ni rahisi na watu wameingiliana sana ..hapo ni jamii husika kutumia mitaji ili kukua basiNatambua wingi wa matukio na harakati za maisha vinatufanya kuangalia mapya bila kutafakari yaliyopita..
Wiki hii kulikuwa na mjadala mwingine baada ya kuzinduliwa Mahakama ya mwanzo CHATO ikitajwa kama mahaka kubwa na nzuri kulinganisha na Mahakama nyingine za mwanzo TANZANIA
Tangu awamu hii ishike hatamu mambo mengi ya kimaendelea yamefanyika CHATO... Kwa kutaja chache tu
Traffic lights
Jengo kubwa la Bank ya CRDB
Jengo la mamlaka ya mapato TRA
Mbuga ya wanyama
Uwanja wa ndege
Uwanja wa mpira
Msikiti mkubwa nknk
Malalamiko yamekuwa mengi kuwa kuna upendeleo unafanywa kuipa CHATO maendeleo isiyostahili
Ni lazima tukumbuke kanuni hii muhimu ya BINADAMU kwamba MWAMBA NGOMA NGOZI HUVUTIA KWAKE... Ni baba wa Taifa pekee hayati Mwalimu J. K. Nyerere ambaye alienda tofauti na kauli hii na kidogo akafuatiwa na Mzee Mwinyi na Mzee Mkapa
Alipoingia madarakani brother Jakaya mambo yakawa tofauti... Akaamua kutumia nafasi yake kuwasaidia watu wa kwake.. Aamejitahidi kadiri alivyoweza kuiamsha Pwani.. Miradi mingi ikipelekwa huko ama Pwani ikipewa kipaumbele... Ombwe halikuonekana sana kwakuwa pia Pwani ni eneo MKAKATI kwa ajili ya kuingia na kutoka Dar.
Hata hivi viwanda vya leo Pwani zilikuwa ni juhudi zake.. Lakini kuna mengine yakawa ni kama hayakuwa na ullazima wa kuyafanya... Leo hii kuna njia mbili za lami mpaka mlangoni kwake pale Msoga... Lakini kuna Msikiti mkubwa mzuri ulijenga pale Msoga barabarani siku hizi umezungukwa na nyasi. Hauhudumiwi tena
Natambua dhima ya kila kiongozi kutaka kusaidia eneo lake ili walau lifanane na kwingine... Natambua fika mawazoni mwao wanataka kuona maeneo yao yakifanana na kaskazini hasa ukanda wote wa Tanga, Moshi mpaka Arusha... Lakini huu ni mchakato mrefu wenye kuhitaji maandalizi na mpango MKAKATI a kina... Kielimu na kubadili mtazamo wa wenyeji wake
Watu wa kaskazini wako vizuri juu na chini pia na wnapenda sana kutumia vizuri fursa zilizopo, ni wabunifu na ni wachapakazi.. Hawana majungu na wanathamini kila kitu kizuri.. Wanapenda UMOJA na kushirikishana... Wanajua vizuri thamani ya elimu ardhi na rasilimali watu....
Maendeleo yaliyojaribu kupelekwa CHATO na PWANI yangepelekwa kaskazini... kisinheharibika hata kitu kimoja na kingetumiwa kwa weledi mkubwa na kuleta matokeo chanya zaidi... Lakini la zaidi huko kote wanaosimania na kujaribu kuleta matokeo hayo chanya bado ni wale wale wa kaskazini!
Kwa mfano Pwani ya JK wenyeji wamebaki kuwa viibarua Papaya's na kazi zisizo na taaluma huku wakiendelea kuuza ardhi zao kwa bei sawa na bure.. Wao wakipata pesa kidogo ni starehe na KUONGEZA wake.
Siwezi kuizungumzia CHATO kwasasa lakini haina tofauti sana na Pwani... Na kuna uwezekano mkubwa sana awamu hii ikiheshimu Katiba na kuondoka madarakani kila kitu kitakufa kule.... Labda wa kaskazini wafanye jitihada kuokoa jahazi kwakuwa maono yao ni makubwa na uelewa wao uko deep zaidi...
Kuna tofauti kubwa sana kati ya mtoto aliyekulia nyumba ya nyasi na aliyekulia nyumba ya bati na sakafu...
Nimemaliza...!!!!
Jr[emoji769]