Mkimzingua ataunda chama chake

Hahahahahaa nimecheka sana et hadi akapata stroke
 
Ninaamini wabadhirifu, mafisadi na wakwepa kodi hawajamsoma vizuri mama! Watakapogundua kuwa hayuko upande wao, watamchukia kupindukia!
Kiumbe unayejiita mwanasayansi. Nilikwambia muda, huwi mwanasayansi kwa kusoma au kufundisha masomo ya sayansi. Sasa unajaribu kutupa kete kwenye siasa! Za awamu iliyopita ungefaulu. Leo huwezi aslani.
Mnyonge hakatai kunyongwa. Kunyongwa ni mojawapo ya haki zake. Hata na hizo nyingine ni zake. Mpeni. Kwenye utawala wa sheria hakuna mbadhirifu, fisadi wala mkwepa kodi bila kutiwa hatiani na mahakama. Hao ni watuhumiwa tu. Na yawezekana kabisa kuwa wamebambikiwa tu uhujumu uchumi na utakatishaji fedha. Wabadhirifu, mafisadi na wakwepa kodi na watuhumiwa wengine wote wanataka haki yao ya kuhukumiwa. Muulize Ruge atakwambia. Plea bargain ya DPP hapana. Hukumu ya mahakama ndiyo. Anayegwaya mahakama ni DPP. Awamu ya sita ni ya mnyonge kunyongwa kihalali!
 

Hahitaji kuvunja serikali wala kuunda chama kipya. Kama ilivyokuwa kwa Jiwe, anapindua mafaili na kuigeuza CCM ya Samia na serikali ya Samia. Kwanza keshaanza. Walioletwa na Jiwe bila shaka wanajiandaa ama kugeuza loyalty au kupisha machaguo na muziki wa Samia.

Kama kawaida, CCM ni “ile ile” midundo tu ndio hubadilika. Ikibidi, hata mipigo ya CHADEMA wanaicheza tu kama alivyoanza Jiwe. Hapa JF napo ID za LB7 hubadilika. Cha maana ni lebo ya CCM tu.
 
Umemchanganya ndugu yako hajui akujibu nini
Afu ww ni mnajimu gani unae sahau?, unazidiwa na wakaldayo wa babeli... CCM ilipewa miaka 115 ya kutawala nchi, tafuteni threads za wanajimu humu ndani mtazipata, ni kama ilivyo Marekani ni dola itakayotawala Dunia hadi Jesus atakaporudi
 
Sipati picha yule mama wa Afya ndio angepewa umakamu angewachamba kufa mtu
 
Chama kinyonga..ila kitu kitu kina kikomo
 
Afu ww ni mnajimu gani unae sahau?, unazidiwa na wakaldayo wa babeli... CCM ilipewa miaka 115 ya kutawala nchi, tafuteni threads za wanajimu humu ndani mtazipata, ni kama ilivyo Marekani ni dola itakayotawala Dunia hadi Jesus atakaporudi
Kafara la kutokimbikiza moto mwala jana limezika maagano na najimu zote.... Na kwa kudhihirisha hilo, likala kichwa cha jasiri muongoza njia... Niamini nisemayo mimi HAKUNA MIAKA 115 TENA!!!
 
Ripoti ya CAG

Kigwangala alitumia 172M kuandaa Kili challenge lakini pesa hizo hazijulikani zilitumikaje (hazina risiti).

Akaunti ya jeshi la zimamoto ilitumika kupitisha 261M. Yani watu walipiga "mchongo" wakakosa akaunti ya kupitishia, wakatumia akaunti ya zimamoto. Zilipoingia wakazitoa wakasepa. Just imagine watu wana ujasiri wa kupitisha pesa chafu kwenye akaunti ya jeshi? Halafu tunaambiwa mwendazake alinyoosha nchi.

Wasafi walipewa 140M, TBC 201M na Clouds 629M kutangaza tamasha la Urithi Festival. Lakini hakuna mkataba wala risiti yoyote ya kujustify malipo hayo.

18Bil zilizokusanywa ktk wilaya 135 hazikufika serikalini. Yani zilikusanywa lakini wajanja wakalala nazo mbele.

3.9Bil zilitolewa kukarabati ndege ya ATCL iliyopaki tangu mwaka 2015, lakini hela imeliwa na ndege haijakarabatibwa. Yani watu walitafuna milioni 3,900 halafu hawakupaka hata rangi.Hayo ni baadhi tu ya "madudu" ya serikali takatifu ya mwendazake. Sijaongelea HESLB, TANAPA, TANROADS, SGR, Stligler's gorge, Stand ya Magufuli. Huko kuna madudu ya kutisha.
 

Haya, hayo yooooooooooooote uliyobwabwaja hapa leo kiko wapi? Yanafika hata 1/1000 kwa yanayoendelea kwenye huo ubatzo wa moto wa Bi mkubwa? Umeuzwa wewe na kila kitu inachomilik familia yako kwa Mwarabu
 
Haya, hayo yooooooooooooote uliyobwabwaja hapa leo kiko wapi? Yanafika hata 1/1000 kwa yanayoendelea kwenye huo ubatzo wa moto wa Bi mkubwa? Umeuzwa wewe na kila kitu inachomilik familia yako kwa Mwarabu
Basi baada ya kuandika hivi roho yako imepata amani sana eeh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…