Mkimaliza Kuwaondoa Wamachinga muanze kampeni ya Kuondoa Nyumba za Zamani zilizopo Pembezoni Mwa barabara

Huyo ni mpita njia machinga wataendelea kuwepo.
 
WATAKUSHUKIA WANAO ISHI ZA URITHI MKUUU
 
H
Kuna nyumba pale kati watu wanataka kutoa adi milion 400 lakini watu wanakataa kuuza na nyumba zenyewe ni chakavu sana si bora wachukue hayo mamilion wakajenge ata huko sengerema au magu majumba mazuri.
 
Mwanza nikiwa mdogo nyumba yetu iliuzwa kwa njia hiyo, nyumba zote za mjini barabarani ziliuzwa kwa matajiri Ili wajenge nyumba zenye hadhi ya kimujini.

Ndo inavyotakiwa sasa Serikali iwe serious na jambo hilo
 
H

Kuna nyumba pale kati watu wanataka kutoa adi milion 400 lakini watu wanakataa kuuza na nyumba zenyewe ni chakavu sana si bora wachukue hayo mamilion wakajenge ata huko sengerema au magu majumba mazuri.

Kabisa tena hiyo nyingi sana wakijua kubajeti
100M inatosha kujenga nyumba nzuri tu na ingine wanafanyia mambo mengine
 

Umemaliza bro
 
Hivi Ile ya pale Victoria Kama unatoka Morroco ndio imeshindwa kuondokewa kabisa....sio nyumba zote zinaguswa....kwani Sheria inasemaje? mbona Kariakoo zipo kibao ..
Tushaiondoa pesa ishafanya yake tunaweka structure moja matata pale
 
Huwa nashangaa hoja za kupendezesha mji. Unapendezesha mji ili iweje?

Yaani utese watu kwa kuwabomolea nyumba zao ili upendezeshe mji. Umpendezeshee nani na kwa sababu gani?

Mawazo ya kishamba kabisa.
We Ni mjinga tu
 
means mbeya yote ina nyumba za hovyo
Kando ya Barbara from uyole to mbaliz nyumb nying chakavu mabat kutu tupu pia **** mtaan unaitwa isanga uko mliman ko unaonekana kirahis nao n mchakavu sana hik ndo ufanya watu kuona mbeya ipo ovyo Ila ukiingia maeneo ya ndan kama isyesye,ituha,iwambi,new forest kuko vizuri sana
 
Na waanzie TANGA hususan kwenye ile mitaa ya barabara 1-9
TANGA kuna had ghorofa za miti+fito...WAKITOKA TANGA waje DAR hususan TMK maeneo ya mwembe YANGA,tmk mikoroshoni..huku kuna nyumba chakavu sana enzi za ujenz wa kutumia miti nyumba zpo hoi..hua najiuliza kwanin wenye nyumba wasiziuze wakapata hela ndefu wakaenda kujenga kwingne nyumba bora?...mfano waweza uza kwa milion 50 ukaenda jenga nyumba ya milion 30 na chenji ikafanya mambo mengne..mtu yupo tu kwenye nyummba chakavu maisha yake pia ni magum sana ila anang'ang'ana tu hapohapo..LOOO!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…