Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,324
- 18,479
Huyo ni mpita njia machinga wataendelea kuwepo.Wee ficha ujinga ako, serikali za kizamani zisizo na misingi sahihi ndilo zinaendekeza tabaka la machinga eti wanatafuta riziki kwa kuziba wengine. Huu utoporo kuuendekeza huku tabaka halali likisotea haki za kuzibwa milango yao kuacha mauchafu ya miwa na mabaki ya kongoro. Sifa kwako Mkuu wa Mkoa kuondoa taka hizi Mungu akuoongezee maarifa wasirudi wachafuzi hawa.