Mkimaliza Kuwaondoa Wamachinga muanze kampeni ya Kuondoa Nyumba za Zamani zilizopo Pembezoni Mwa barabara

Kalunya

JF-Expert Member
Oct 5, 2021
3,783
2,000
Wee ficha ujinga ako, serikali za kizamani zisizo na misingi sahihi ndilo zinaendekeza tabaka la machinga eti wanatafuta riziki kwa kuziba wengine. Huu utoporo kuuendekeza huku tabaka halali likisotea haki za kuzibwa milango yao kuacha mauchafu ya miwa na mabaki ya kongoro. Sifa kwako Mkuu wa Mkoa kuondoa taka hizi Mungu akuoongezee maarifa wasirudi wachafuzi hawa.
Huyo ni mpita njia machinga wataendelea kuwepo.
 

COMOTANG

JF-Expert Member
Jan 6, 2021
2,134
2,000
Serikali ikimalizana na kuwaondoa Wamachinga waazae Campaign ya Kuondoa nyumba zote chafu na za zaman ambazo watu wake wameshindwa kuziboresha na maeneo yauzwe kwa Watu wenye uwezo wa kuweka nyumba za kisasa.

Hii itasaidia sana majiji mengi hapa Tanzania kuwa safi na kuwa na Muonekano mzuri.

Pembezoni mwa barabara zimejaaa nyumba nyingi ambazo watu wake wameshindwa kuziboresha na zinafanya majiji kuonekana hakuna mipango miji.

Serikali ifanye Mpango wa kuongea na watu wenye hizo nyumba ikiwezekana wapewe maeneo mengine wakajenga na maeneo yao yauzwe kwa watu wenye uwezo wakujenge nyumba za kisasa.

Frankly speaking nyumba nyingi za zamani zilizochakaa zinaaribu sana mvuto wa jiji bora wenye hizo nyumba waziuze wakajenge sehemu zingine.

Wenye nyumba chafu za zamani ziuzeni mkanunue sehemu nyingine sio lazima kukomaa na jiji huku huwez kuboresha hata nyumba viwanja vimejaaa Kibaha, goba, Mapinga, Kigamboni, bagamoyo unanunua shamba kubwa tu unapata na sehemu ya bustani sio unakaa town unashindwa hata kulima mboga.

Mfano Kama kuna mtu ana nyumba sinza kuuza hata 200M inawezekana then akaenda kununua kiwanja kigamboni au Kibaha ambavyo vinauzwa (1.8M-2.5M) kwa hela hiyo anaweza kujenga bonge la mjengo na maisha yakaenda.
WATAKUSHUKIA WANAO ISHI ZA URITHI MKUUU
 

Kitombile

JF-Expert Member
Mar 21, 2021
944
1,000
H
Hii nchi sasa naona wasio nacho hawatakiwi nyinyi mnao taka hizo nyumba zibomolewe ama wenye nazo wapewe maeneo sehemu nyingine msipate tabu.Maana naona mnataka hii nchi iwe ya matajiri tu kila nyumba chakavu pigeni bomu na wenye nayo wakiwemo humo ili mkae wenyewe pumbavu kabisa nyie.Ndio tatizo la watu kua na vihela wanaona hao wenye nyumba chakavu wanapenda kukaa na nyumba chakavu haya ni maisha tu tusitese watu kisa kufurahisha macho yetu eti jiji ama mji uwe safi wakati watu wamejaa chuki na visasi.
Kuna nyumba pale kati watu wanataka kutoa adi milion 400 lakini watu wanakataa kuuza na nyumba zenyewe ni chakavu sana si bora wachukue hayo mamilion wakajenge ata huko sengerema au magu majumba mazuri.
 

Mayunga234

JF-Expert Member
Feb 17, 2017
1,374
2,000
Mwanza nikiwa mdogo nyumba yetu iliuzwa kwa njia hiyo, nyumba zote za mjini barabarani ziliuzwa kwa matajiri Ili wajenge nyumba zenye hadhi ya kimujini.

Ndo inavyotakiwa sasa Serikali iwe serious na jambo hilo
 

Mayunga234

JF-Expert Member
Feb 17, 2017
1,374
2,000
H

Kuna nyumba pale kati watu wanataka kutoa adi milion 400 lakini watu wanakataa kuuza na nyumba zenyewe ni chakavu sana si bora wachukue hayo mamilion wakajenge ata huko sengerema au magu majumba mazuri.

Kabisa tena hiyo nyingi sana wakijua kubajeti
100M inatosha kujenga nyumba nzuri tu na ingine wanafanyia mambo mengine
 

Mayunga234

JF-Expert Member
Feb 17, 2017
1,374
2,000
kilichopo kwasasa ni kuwa mtu akinunua kiwanja maeneo ya mjini kama manzese au magomeni anapewa na aina ya nyumba ya kujenga, mostly ni ghorofa lakini hii sio sustainable scheme kwakuwa wanaoridhia kuuza viwanja vyao ni wachache mno ,kinachotakiwa ni mamlaka kuandaa mpango wa kuwalazimisha kujenga kisasa au kuuza kabisa maeneo yao

Sent using Jamii Forums mobile app

Umemaliza bro
 

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
5,748
2,000
Hivi Ile ya pale Victoria Kama unatoka Morroco ndio imeshindwa kuondokewa kabisa....sio nyumba zote zinaguswa....kwani Sheria inasemaje? mbona Kariakoo zipo kibao ..
Tushaiondoa pesa ishafanya yake tunaweka structure moja matata pale
 

lunatoc

JF-Expert Member
Aug 16, 2017
1,852
2,000
Huwa nashangaa hoja za kupendezesha mji. Unapendezesha mji ili iweje?

Yaani utese watu kwa kuwabomolea nyumba zao ili upendezeshe mji. Umpendezeshee nani na kwa sababu gani?

Mawazo ya kishamba kabisa.
We Ni mjinga tu
 

Fifteen

Member
Oct 5, 2021
39
125
means mbeya yote ina nyumba za hovyo
Kando ya Barbara from uyole to mbaliz nyumb nying chakavu mabat kutu tupu pia **** mtaan unaitwa isanga uko mliman ko unaonekana kirahis nao n mchakavu sana hik ndo ufanya watu kuona mbeya ipo ovyo Ila ukiingia maeneo ya ndan kama isyesye,ituha,iwambi,new forest kuko vizuri sana
 

aAllen

Senior Member
Jun 19, 2016
163
250
Na waanzie TANGA hususan kwenye ile mitaa ya barabara 1-9
TANGA kuna had ghorofa za miti+fito...WAKITOKA TANGA waje DAR hususan TMK maeneo ya mwembe YANGA,tmk mikoroshoni..huku kuna nyumba chakavu sana enzi za ujenz wa kutumia miti nyumba zpo hoi..hua najiuliza kwanin wenye nyumba wasiziuze wakapata hela ndefu wakaenda kujenga kwingne nyumba bora?...mfano waweza uza kwa milion 50 ukaenda jenga nyumba ya milion 30 na chenji ikafanya mambo mengne..mtu yupo tu kwenye nyummba chakavu maisha yake pia ni magum sana ila anang'ang'ana tu hapohapo..LOOO!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom