Mayunga234
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 1,726
- 1,989
Naunga mkono huja Masikini ndio chanzo cha uchafu katika miji mingi..waondolewe.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
NAKUBALI
Nafikiri ana maana zote mbili.Nyumba chafu au chakavu mkuu..!?
Nyumba chafu au chakavu mkuu..!?
Wandae sheria kisha utekelezaji uanzie jijini Dar na Tanga mana kuna nyumba (magofu) nyingi za hovyohovyo tena katikati ya mji.
Usikute unaandika huu uzi ukiwa kwa shemeji au nyumba ya kupanga chumba kimoja,
Usikute unaandika huu uzi ukiwa kwa shemeji au nyumba ya kupanga chumba kimoja,
milioni 200 kaka hii nchi hela ni ngumu sana