Mayunga234
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 1,726
- 1,989
- Thread starter
- #21
Ngoja tuone... Wazo siyo rafiki...
Ngoja tuone... Wazo siyo rafiki...
Nyumba za kisasa ndio zipi mkuu?
kabisa wajengewe nyumba pembezoni mwa miji huko waachie viwanja vya mjini vipewe wawekezaji hilo ni Big YES
Nadhani wewe ndio u-google.
Nadhani wewe ndio u-google.
Unachoona wewe ni cha kisasa wengine wanaona cha kizamani.
Usasa ni complex concept.
Dadavua huo usasa umelenga nini hasa??
Wewe ni tajiri kiasi gani?Naunga mkono huja Masikini ndio chanzo cha uchafu katika miji mingi..waondolewe.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Ile ya pale Victoria Kama unatoka Morrico ndio imeshindwa kuondokewa kabisa....sio nyumba zote zinaguswa....kwani Sheria inasemaje?mbona kariakoo zipo kibao ..
Serikali ikimalizana na kuwaondoa Wamachinga waazae Campaign ya Kuondoa nyumba zote chafu na za zaman ambazo watu wake wameshindwa kuziboresha na maeneo yauzwe kwa Watu wenye uwezo wa kuweka nyumba za kisasa
Naunga mkonyo hoja, Shaurimoyo Manzese, Tandale Buguruni Vingunguti, Ubungo maji kwa kuanzia wavunje vibanda umiza vyote nyumba za hovyo mabati yamejaa kutu tupu kama huamini shuka na ndege uone Dar ilivyo mbayaNAKUBALI
Zote hizo za Kkoo ni za kuvunjwaHivi Ile ya pale Victoria Kama unatoka Morrico ndio imeshindwa kuondokewa kabisa....sio nyumba zote zinaguswa....kwani Sheria inasemaje?mbona kariakoo zipo kibao ..
Mkuu hatuwezi kuziacha nyumba zetu kisa wewe unaziona zimechakaa.Nikakae kibaha ili iweje!.usichukulie kuuza nyumba ni uamuzi rahisi tu kama kuuza simu na kununua nyingine.
Naunga mkonyo hoja, Shaurimoyo Manzese, Tandale Buguruni Vingunguti, Ubungo maji kwa kuanzia wavunje vibanda umiza vyote nyumba za hovyo mabati yamejaa kutu tupu kama huamini shuka na ndege uone Dar ilivyo mbaya
kwa mfano Jjij la mbeya , kati ya Ilomba na Mama John, watu wameziba mitaa (vichochoro ) watu wameviziba kwa vijumba vya hovyo , madiwani sijui wanajadiliana nini ?
ila siasa mara nyingi zinaharibu sana , maana mtu anaangalia kura zake binafsi badala ya maslahi mapana, sasa jiji la mbeya mitaa yote imezibwa kati ya ILOMBA NA MAMAJOHN
Mfano mzuri ni pale Msamvu Moro, Morena hotel imejengwa vizuri sana ila angalia nyumba zilizopo nyuma ya ile hotel.
Uzeeni hyo nyumba ya urithi 300milioni nendeni zenu Kgmbn huko mkajenge nyumba za maana na hela za mtaji zinabakiMkuu hatuwezi kuziacha nyumba zetu kisa wewe unaziona zimechakaa.Nikakae kibaha ili iweje!.usichukulie kuuza nyumba ni uamuzi rahisi tu kama kuuza simu na kununua nyingine.