TheMnyonge
JF-Expert Member
- Mar 25, 2022
- 738
- 1,900
- Thread starter
- #41
Jamaa alikuwa anauguza baba yake mzazi, baada ya kuishiwa kabisa akaniomba nimuazima 600k nikampa, alinurudishia kwa instalment kama miezi 4 hivi,(na sijampiga kampani mara moja) yéyé sasa uuuuh kama hanijui yaani [emoji28][emoji28][emoji28]Marafiki zako hukutambulisha wewe ni mtu wa aina gani. Mara ya mwisho umembeba rafiki akiwa na shida ulimsaidiaje? Inawezekana urafiki wenu ni wa bia na stori tu sio wa kukopeshana.
Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app