Mkiachana vizuri ni raha sana!

Mkiachana vizuri ni raha sana!

Marafiki zako hukutambulisha wewe ni mtu wa aina gani. Mara ya mwisho umembeba rafiki akiwa na shida ulimsaidiaje? Inawezekana urafiki wenu ni wa bia na stori tu sio wa kukopeshana.
Jamaa alikuwa anauguza baba yake mzazi, baada ya kuishiwa kabisa akaniomba nimuazima 600k nikampa, alinurudishia kwa instalment kama miezi 4 hivi,(na sijampiga kampani mara moja) yéyé sasa uuuuh kama hanijui yaani [emoji28][emoji28][emoji28]

Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
 
Kama una uhakika ana ukwasi wa kukuwezesha ila hafanyi na ww huwa unamwezesha hakuna sababu ya kumuita rafiki. Awe tu mtu unayemfahamu ambaye unaweza msaidia akiwa na shida but not vice versa.
 
Acha mawazo mgando mzee,kwa hiyo pesa ya kila mwanamke inatokana na kupigwa mbupu?

Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
Huyo mkeo wa ndani na pesa yake huli kizembe.

Eti umuombe ex wako pesa..

Mwanamke hata awe na pesa kiasi gani lakini pesa ya Dume linalomla pia ataitamani apewe..

Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
 
Mkuu mbona umesaidiwa na mmoja wa marafiki zako ila bado unawalaumu rafiki zako wengine? What if na wao walipenda kulisaidia ila haukuwa wakati mzuri kwao kufanya hivyo?
Usipende kulaumu kulaumu sana, yawezekana hata wao walikuwa ktk hali kama yako.
 
Kuna kitu watu awaelewi kuachana sio uadui mtu akiamua kumove on na mtu mwingine we komaa tu na maumivu yako. Futa namba yake Ili usipate mshawasha wa kutaka kuipiga au kumbembelea.
Ex means future assets ujui kesho ni ofisi ipi utaingia, anaweza kesho akawa nesi, hakimu, askari, HR akakufaa kesho. Zimwi likujualo alikuli likakakwisha kama sio kukusaidia wewe hata mwanao kesho.
Umenena vyema mkuu
 
Nilichogundua Kuna aina mbili za kuachana. Kuna watu wanaachana Kwa umbali au mawasiliano kufa. Haina hii ya kuachana vigumu sana kutengeneza uadui. Lakini wengine wanaachana Kwa skendo au kuachana Kwa kuona hamna future aina hii ya kuachana uleta uadui sana. Maana Kuna mmoja hajaridhika na kuachana hivyo ule upendo unabadilika kuwa uadui. Inapendeza watu tusiwe na vinyongo mtu akiachana mbaki kwenye friend zone tu. Maisha bado safari hatujui what next.
 
Nilichojifunza kwenye haya maisha vile tunaishi na watu kuna namna yanaweza kuturudia wenyewe kwa mfano kuna watu wakikopa hela huwa hawarudishi, huyu lazima akimbiwe tu. kuna watu wanaomba tu wenzao misaada lkn wao hawajawahi kujitoa kwa ajili ya wengine sasa watu wa hivi wa kazi gani lazima wakulie buyu.

Na pia kuna watu hawana shukran hata uwafanyie nini, unajitoa sana kwao ila wewe ukipata shida huwaoni ng'oo. Mtoa mada sijajua upo kundi gani ila maisha ya sasa bwana tunaishi kimachale bora ujikaushe zako kimya upambane na hali yako. Ikitokea wa kukupa support sio kesi ila tusiwe na matarajio yoyote na binadamu yoyote yule.
Nami pia nilijifunza jambo hilo nikaona bora kujipabania mwenyewe people so not care. so Care for yourself
 
Nilichogundua Kuna aina mbili za kuachana. Kuna watu wanaachana Kwa umbali au mawasiliano kufa. Haina hii ya kuachana vigumu sana kutengeneza uadui. Lakini wengine wanaachana Kwa skendo au kuachana Kwa kuona hamna future aina hii ya kuachana uleta uadui sana. Maana Kuna mmoja hajaridhika na kuachana hivyo ule upendo unabadilika kuwa uadui. Inapendeza watu tusiwe na vinyongo mtu akiachana mbaki kwenye friend zone tu. Maisha bado safari hatujui what next.
ni kweli kabisa.
 
Back
Top Bottom