TheMnyonge
JF-Expert Member
- Mar 25, 2022
- 738
- 1,900
Nimekaa nikitafakari mapito ktk maisha, kama ilivyo ada kuna kupanda na Kuna kushuka!
Nilikuwa nimepigika ile mbaya, sina hata 10,000 nikaangalia ka premio changu hakina hata mafuta, basi nikatoka zangu kwenda kitaa nipate walau bia moja kustua brain!
Nikawacheki washkaji walau wani-boost lakini wapi, kila niliyemcheki sababu lukuki hakuna cha support wala nini! (Hapa nimejifunza kitu kikubwa sana, aisee fanya ufanyavyo weka akiba hata kidogo tu ikufae wakati wa dharura, vinginevyo unawezakujikuta unadhalilika au unakufa hivi hivi halafu rafiki zako ndo wanakuwa wa kwanza kukutolea rambi rambi nyingi na kujaza status zenye picha yako kuonyesha namna walivyokupenda)
Baada ya kukosa kwa "washkaji" nikampigia x girl wangu, (hatukugombana isipokuwa umbali ulifanya kila mmoja wetu aendelee na maisha yake) nilivyomcheck tukapiga story 2, 3 nikachomekea "mshakaji wangu fanya mchakato wa 100k hapo bhana nipo hovyoooo!
Akaniuliza kwa M pesa au Tigopesa? Baada ya dakika 3 nikaona "Imethibitishwa..." Nilikaa nikawaza mbali,hivi kama washkaji wooote wamenitolea nje japo wengine najua kabisa walikuwa na uwezo wa kunisapoti ila walikausha kwa sababu zao, lakini X ambaye hatuna mahusiano kwa zaidi ya miaka 4 ameweza kuniondolea aibu, je huyu x sio bora zaidi ya wanaojifanya "good friends" wakati ktk uhalisia hawana huo urafiki kabisa?
Aisee, tukiachana tuachane kwa amani ili tusigeuke maadui, maisha mafupi haya HAKUNA sababu ya kujaza chuki mioyoni... Tuishi kwa kufurahi....