Mkiachana vizuri ni raha sana!

Mkiachana vizuri ni raha sana!

Kuna kitu watu awaelewi kuachana sio uadui mtu akiamua kumove on na mtu mwingine we komaa tu na maumivu yako. Futa namba yake Ili usipate mshawasha wa kutaka kuipiga au kumbembelea.
Ex means future assets ujui kesho ni ofisi ipi utaingia, anaweza kesho akawa nesi, hakimu, askari, HR akakufaa kesho. Zimwi likujualo alikuli likakakwisha kama sio kukusaidia wewe hata mwanao kesho.
 
Nimekaa nikitafakari mapito ktk maisha, kama ilivyo ada kuna kupanda na Kuna kushuka!

Nilikuwa nimepigika ile mbaya, sina hata 10,000 nikaangalia ka premio changu hakina hata mafuta, basi nikatoka zangu kwenda kitaa nipate walau bia moja kustua brain!

Nikawacheki washkaji walau wani-boost lakini wapi, kila niliyemcheki sababu lukuki hakuna cha support wala nini! (Hapa nimejifunza kitu kikubwa sana, aisee fanya ufanyavyo weka akiba hata kidogo tu ikufae wakati wa dharura, vinginevyo unawezakujikuta unadhalilika au unakufa hivi hivi halafu rafiki zako ndo wanakuwa wa kwanza kukutolea rambi rambi nyingi na kujaza status zenye picha yako kuonyesha namna walivyokupenda)

Baada ya kukosa kwa "washkaji" nikampigia x girl wangu, (hatukugombana isipokuwa umbali ulifanya kila mmoja wetu aendelee na maisha yake) nilivyomcheck tukapiga story 2, 3 nikachomekea "mshakaji wangu fanya mchakato wa 100k hapo bhana nipo hovyoooo!

Akaniuliza kwa M pesa au Tigopesa? Baada ya dakika 3 nikaona "Imethibitishwa..." Nilikaa nikawaza mbali,hivi kama washkaji wooote wamenitolea nje japo wengine najua kabisa walikuwa na uwezo wa kunisapoti ila walikausha kwa sababu zao, lakini X ambaye hatuna mahusiano kwa zaidi ya miaka 4 ameweza kuniondolea aibu, je huyu x sio bora zaidi ya wanaojifanya "good friends" wakati ktk uhalisia hawana huo urafiki kabisa?

Aisee, tukiachana tuachane kwa amani ili tusigeuke maadui, maisha mafupi haya HAKUNA sababu ya kujaza chuki mioyoni... Tuishi kwa kufurahi....
Kumuomba pesa X wako ni Sawa na kusarender..

Yaani mwanamke apigwe mbupu na dume lingine halafu akupe wewe pesa yake bure?

Subiri matangazo kwa Jamii.

Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
 
Marafiki wa aina yako hawafai kabisa. Hii entitlement kuwa watu wana hela zisizo na matumizi ya msingi bali kukupiga tafu wewe sio kabisa, mzee.
Lakini za kwangu kuwapiga tafu wao wanapokwama ndiyo zipo?

Issue ni kwamba, kwanini wewe ukiwa na shida naichukulia kwa uzito na nakusaidia lakini inapokuja kwangu unanigeuzia kisogo?

Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
 
Mnaoomba misaada kwa marafiki halafu mnategemea kusaidiwa 100% huwa nawashangaa sana.
Sijui huwa mnawaza nini aisee.
 
Nimekaa nikitafakari mapito ktk maisha, kama ilivyo ada kuna kupanda na Kuna kushuka!

Nilikuwa nimepigika ile mbaya, sina hata 10,000 nikaangalia ka premio changu hakina hata mafuta, basi nikatoka zangu kwenda kitaa nipate walau bia moja kustua brain!

Nikawacheki washkaji walau wani-boost lakini wapi, kila niliyemcheki sababu lukuki hakuna cha support wala nini! (Hapa nimejifunza kitu kikubwa sana, aisee fanya ufanyavyo weka akiba hata kidogo tu ikufae wakati wa dharura, vinginevyo unawezakujikuta unadhalilika au unakufa hivi hivi halafu rafiki zako ndo wanakuwa wa kwanza kukutolea rambi rambi nyingi na kujaza status zenye picha yako kuonyesha namna walivyokupenda)

Baada ya kukosa kwa "washkaji" nikampigia x girl wangu, (hatukugombana isipokuwa umbali ulifanya kila mmoja wetu aendelee na maisha yake) nilivyomcheck tukapiga story 2, 3 nikachomekea "mshakaji wangu fanya mchakato wa 100k hapo bhana nipo hovyoooo!

Akaniuliza kwa M pesa au Tigopesa? Baada ya dakika 3 nikaona "Imethibitishwa..." Nilikaa nikawaza mbali,hivi kama washkaji wooote wamenitolea nje japo wengine najua kabisa walikuwa na uwezo wa kunisapoti ila walikausha kwa sababu zao, lakini X ambaye hatuna mahusiano kwa zaidi ya miaka 4 ameweza kuniondolea aibu, je huyu x sio bora zaidi ya wanaojifanya "good friends" wakati ktk uhalisia hawana huo urafiki kabisa?

Aisee, tukiachana tuachane kwa amani ili tusigeuke maadui, maisha mafupi haya HAKUNA sababu ya kujaza chuki mioyoni... Tuishi kwa kufurahi....
AM 4 REAL natamani kuandika kitu....
Hii Dunia imebeba mengi
 
Marafiki zako hukutambulisha wewe ni mtu wa aina gani. Mara ya mwisho umembeba rafiki akiwa na shida ulimsaidiaje? Inawezekana urafiki wenu ni wa bia na stori tu sio wa kukopeshana.
 
Back
Top Bottom