Mkia wa samaki Taa(Stingray) una maajabu gani?

Aisee usije ukaomba mtu akakuchapa nao,hayo maumivu ni bora uchapwe na waya.
Mkia wa taa ndiyo fimbo ilikuwa ikitumika na wakoloni kuchapa ndugu zetu.
 
Zamani kidogo, silaha zilizokuwa zinahifadhiwa ndani ni gobole, mkia wa taa na nyengo.

Matumizi ya hizo silaha inategemea na ukubwa wa tukio. Ugomvi wa kawaida, hasa ushabiki wa mpira, mkia wa taa...
 
Nyengo ni nini?
 
Hivi nyengo ndio ile kitu wanatumia kukatia majani ya ng'ombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…