Mkewe adai waachane

Kwanza miaka 7 anamfilimba tu mwanamke wa watu haoni aibu???

Halafu mwambiw ndugu yako kama anaona hizo kazi ni rahisi sana azifanye yeye kwa wiki 1 tu then akupe mrejesho kama kuna umuhimu wa hg au la....
 
Kuna baadhi ya wanaume wanadhani wake zao hawatumii damu...... ni aina fulani ya machine

Na mwanamke wa watu akishamaliza majukumu ya nyumbani yupo hoi bado jamaa anasubiria apate unyumba utadhani ana cheti cha ndoa


 
mkuu soma kwa umakn post, hawarud wote usku, mke n mwl.sasa usku anafundsha na yeye kutoka shule mpaka kwake n karibu hapand gari wala pkpk saa nane anakuwa yupo home, mumewe ndo anarud usku.


Siku pitia vizuri, nikajua wote wanarudi ucku,sidhani kama huyo dada ni mwalim na kama ni mwalim basi ndio waleeeeeee, mwalimu mwenye maadili na aliyefundisha HAIBA usafi jambo la kwanza. huyo kaka amrudishe tu kwao, kuna uwezekano huyo dada kachoka ashapata mwingine +stori za kudanganyana ndio maana analeta vituko. kaka achane nae tu ajipange kumlea mwanae
 
Hivi hamjaelewa tuuu, mwanamke yuko desperate, miaka 7 bila ndoaa? Halafu anataka service zoooote za mume? apikiwe, afuliwe, Asubuhi apewe kimoko....khaaaa kwa mtonyo gani hata mahari hajatoa?

Akitaka heshima amuoe....! Hapo hata kuita MUME WANGU anajistukia masikini
 
Kuna baadhi ya wanaume wanadhani wake zao hawatumii damu...... ni aina fulani ya machine

Na mwanamke wa watu akishamaliza majukumu ya nyumbani yupo hoi bado jamaa anasubiria apate unyumba utadhani ana cheti cha ndoa

Hahahaaaa....umenichekesha, anasimamia kucha kama kahalalishwa vileee....
 
Hahahaaaa....umenichekesha, anasimamia kucha kama kahalalishwa vileee....

kwa maelezo yaliyomo humu n kwamba mahali jamaa kishalipa,kama ndo tabia zenu wanawake ili mtulie na waume zenu mpaka mhalalishwe bas uwenda ndoa nyng n utata,kngne mnaomshabkia huyo mwanamke na vtendo vyake n kwasababu hamna ndoa au hata kama mnazo n mara nyng urafk wa wanawake weng huwa mwsho wa sku n kuharibiana ndoa zenu kwa kushauriana ujnga,na ndo maana sku hz jamaa wanato.mba sana na kuwala tigo ksha wanasepa hakuna cha ndoa wala nn,jamaa lnakuweka geto hata mwaka lnajpgia tu huku lnakula na vchwa vya nje,cha ajabu mkpata mume mpole ndo mnamuona kenge ndo maana wakulya hawatak masihala na manamake n kpgo heavy tu na kwenu hurudi.shenzi sn nyie.
 
Kuna baadhi ya wanaume wanadhani wake zao hawatumii damu...... ni aina fulani ya machine

Na mwanamke wa watu akishamaliza majukumu ya nyumbani yupo hoi bado jamaa anasubiria apate unyumba utadhani ana cheti cha ndoa

Hahaaaaaa BADILI TABIA! Kweli kabisa!
 
Last edited by a moderator:

Point Kim Kardashian!
 

Wewe acha kupovuka! Funga ndoa, Halafu muhame hapo kwenye hako kachumba kamoja mmebanana na mtoto!
 
ahame mji wala asichukue chochote zaidi ya nguo zake
 
hahaaaaaa badili tabia! Kweli kabisa!
bibi zetu walifanya kazi nzito zaidi ya hizo
shamba maili 10
arudi na kuni
achote na maji
apike na msosi
na shughuli nyingine nyingi
na usiku anachezo mchezo vizuri
na kuzaa anazaa watoto kumi
si hawa mbwa wasiozaa
akijitahidi ni kwa operesheni.
Huu si ustaarab
 

unaniudhi kwa nini unatuita mbwa... wewe ndiyo mbwa dume kenge wewe mwizi wa mayai ya mamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…