ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,065
- 61,402
Mkuu unawangumzia awa wake wetu wenye mikopo kausha chupi?Juzi nimemsikia mchungaji mmoja akisema kwa wale mnaoishi maisha ya unyumba ukitaka kujua mkeo ndio rafiki wako mkubwa basi ugua ugonjwa wa kulazwa wa kukaribia ...
Robot haliwezi kukuuguza mkuuHivi mbona hayo maroboti ya musk yanachelewa hivyo.?...aaaah!..[emoji15][emoji15][emoji15]
Linaweza sana tena kwa kutimia technology ya AI yaani linafahamu dawa na vipimo kuliko ata binaadamu aliyelitengeneza.Robot haliwezi kukuuguza mkuu
Kwamba uoe roboti[emoji15]Hivi mbona hayo maroboti ya musk yanachelewa hivyo.?...aaaah!..[emoji15][emoji15][emoji15]
Kwamba hajakomaa bado[emoji4]Wewe una wiki mbili tu tangu uoe.
baada ya miaka mitatu utakuja kuwaomba mods wafute huu uzi
Nanunua siyo kuoa 😅😅Kwamba uoe roboti[emoji15]
Halina kanuni maalumu. Binadamu hatabirikiJuzi nimemsikia mchungaji mmoja akisema kwa wale mnaoishi maisha ya unyumba ukitaka kujua mkeo ndio rafiki wako mkubwa basi ugua ugonjwa wa kulazwa wa kukaribia kufa au ugonjwa uzidiwe mpaka ujinyee mkeo atakusafisha matako bila kuona kinyaa maadam mlipendana kwa dhati.
Ndugu na marafiki watakuja week ya Kwanza na matunda ya kuzuga baada ya hapo hutawaona Tena. Mkeo atakaa mpaka dakika ya mwisho na yeye akianza kuchoka jua ameshaona hutoboi so ni Bora ukamwachia roho yako bwana kiroho Safi na ndo maana hata mirathi next of keen awe mkeo hawezi kuacha watoto wenu ila ndugu wengine hawana uchungu wanakula Mali yote..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Linaweza sana tena kwa kutimia technology ya AI yaani linafahamu dawa na vipimo kuliko ata binaadamu aliyelitengeneza.
Tena wakati unatibiwa litakuchagulia wimbo wowote ule unaopenda na kukuimbia maana lina memory card..[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]