Watu wajitia watakatifu humu wakati mnagegedana na Ma house boy na Ma house girl..sasa sijui uhalali wa mke n chumbani kitandani kwake tu au nyumba nzima?
Watu wanaheshima na unafkia mkuu..Mtu anajitia hawezi lala na mwanamke au mwanaume kitanda anacholalia na Mwenza wake wakati huko nnje wanapita kufanya machafu wanaoga wanajipulizia marashi wanarudi wananukia madai wametoka makazini..Ushenzi mtupu.Mkuu nadhani komenti yako imewachoma sana wadau huku jukwaani kama nawaona wadau walivyopaniki
Sent using Jamii Forums mobile app