Mkeo anajivunia nini juu yako?

Mkeo anajivunia nini juu yako?

onetime

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2014
Posts
331
Reaction score
234
Jana wakati natazama game ya uholanzi na spain niliwashuhudia robben na van persie wakifunga magoli mawili kila mmoja huku wakifuatiwa na shangwe za kutosha kutoka kwa mashabiki, kichwani kwangu nikawa najiuliza hivi wake zao huwa wanajisikiaje juu ya waume zao?

Hivi mpenzi wa Neymar anajionaje juu ya mpenzi wake?

au Irina Shayk anajionaje akimwona Ronaldo anafanya mambo?

Hebu share nasi ni kitu gani mpenzi wako anajvunia juu yako au ni kitu gani unajivunia juu ya mumeo?
matusi ni dhambi utaenda motoni...
 
Mimi mke wangu ananiona mkali sana kwny mambo ya gari yani anaweza kuwa yupo kkoo anahangahika kupaki ananipigia simu afanyaje basi nikimpa maelekezo akipaki lazima arudi na zawadi...
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Subiri nikamuulize maana vingi namfanyia lakini sijui kipi anajivunia zaidi
 
Mi nikimwachiaga bulungutu la noti za matumizi yetu na watoto anakaaga mdomo wazi tu na kushukuru sana!
 
nimemuuliza mmama mmoja jiran hapa eti.anasema ni ndevu za mumewe ndizo huwa anajivunia. lol
 
hee hii kali mwengine anasema ni kikwapa cha mumewe ndicho kinachomfanya ajivunie
 
Dah it's time to get one 🙁


Just like the old days
 
mke wangu anajivunia siku ambayo nimerudi home mapema
 
Mke wangu anajivunia kuwa nami kwani anaamini mapungufu yangu ni machache kuliko ya wanaume wengi uko nje....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom