Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 4,496
- 9,273
Kama huna taarifa Ni kwamba bodaboda wanatuumizia sana wapenzi wetu.Mi sina bodaboda, ila kama ndio kuwa na boda kunatafsiriwa hivi inachekesha....
[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]huyo bodaboda mbea hvyooo!!Kuna bodaboda mmoja huku mtaani ni mbea hatari! Alikuwa na abiria wake Ana mdada amempangishia chumba mtaani! Bodaboda ndie alikuwa anatumiwa na jamaa kupeleka matumizi n.k! Bwana weee bodaboda c Kendamwambia mke wa jamaa full story kampeleka mpaka mpaka kwa huyo mchepuko! Story zmeenea mtaani nadhan saiv Hana wateja wengi maana ni mbeaaa[emoji2]
Aisee naomba na Mimi nikuwekee mzigo bankKuna kipindi nilikuwa na boda mmoja hivi Sasa mi kikawaida huwa sipendi kumtreat mtu vibaya, lugha nzuri, samahani km nikimchukulia muda wake kunisubiri, salamu endapo tukikutana pahala nk, ikawa nikienda shopping nae nampatia chochote kwa ajili ya familia yake nk, mkewe akajifungua akanambia nikaenda msalimia na zawadi ya khanga na kitenge Sasa jamaa sijui akahisi anaweza kuboresha kutoka kuwa boda na mteja iwe mtu na hawara yake akawa anapiga simu ovyo ovyo kilichoniboa Ni simu zake za usiku ,aagrrrrrggh nilimpa onyo na karipio kali hakuwahi nitafuta tena, akafie mbele huko, mfyuuuuu
Ila sikuwahi kumuamini mtu baki yeyote kunishikia kadi ya ATM hata kwa robo saa tu ije kuwa kutoa hela!! Labda babe nae Ni kwa vile mzigo anauweka mwenyewe benki
Anaeweka anajitosheleza sanaAisee naomba na Mimi nikuwekee mzigo bank
Wanauza Sana gazeti hao jamaaMi sina bodaboda, ila kama ndio kuwa na boda kunatafsiriwa hivi inachekesha....
Umeongea pointukiona mke wa mtu anatoka na bodaboda basi ujee huyo ni tabia yake tangu utoto - si ajabu hata kabla hujamuoa alikuwa antoka na shamba boy wao... na ukiona mumeo anatoka na H/girl wenu basi ujue hiyo ni tabia yake, si ajabu hata kipindi hamjaoana alikuwa anakula H/girl wao ama wa mtaani.
Hakimbizi sambusa yake sanaaYap hiyo nimeiona sana, unakuta demu kaja kwenye kijiwe cha bodaboda kasimama takriban lisaa lizima anamsubiria bodaboda wake.
Mi nikamuuliza kwani huyo jamaa huwa anakubebaga bure? Kwanini usichukue hizi za hapa uwahi kuliko kuendelea kumsubiria huyo huoni kua unazidi kuchelewa
Akasema "Aah nimemzoea tu naogopa kubadilisha bodaboda mwingine naona anaweza niangusha maana huyu nimemzoea hakimbizi sana"
Ndugu Tafuta PESA wanawake hata malaika wamewashindwa
HahahahahaAsante umenipa akili
That's that.Negative charges Atract each other while Positive charges Repels each other.
Honestly hata Mimi kuna dogo ametokea kuwa Boda sahihi sana kwangu, naeza mpatia pesa hata Mil 10 apeleke mahali na zinafika salama. Hata nikiwa na safari ya haraka inayohitaji Boda huwa nakuwa at peace kupanda Boda boda yake kuliko boda zingine.
Na huyu Dogo nimejuana naye kupitia kwa wife. [emoji28][emoji28]
Ni kweli hawa boda boda wanasaidia sana mfano hapa mimi wife ana boda wake ambaye hata kama sipo huwa anakuja nyumbani anamsaidia mpaka wife kufagia uwanja nk.Ukisikia mama au dada anakwambia ngoja nitamtuma 'bodaboda wangu' basi ujue huyo Bodaboda wake ni bodaboda wake kweli kweli.
Ninamjua mdada ambae anamtuma bodaboda wake kumtolea hela Kwa ATM. Kuna mmoja aliniletea bidhaa nikatakiwa nimrushie zaidi ya 300,000, nikamwambia makato upande wako. Akaniambia basi acha 'namtuma bodaboda wangu'.
Bodaboda anaweza kumsubiri mdada aoge amalize ndo ambebe. Cha kushangaza bodaboda hawa ni wakali mno kama wana deal na vidume. Hawataki kupotezewa muda na mahesabu ya gharama wanakuwa makini but kwa wadada watapigishwa round kibao malipo kiduchu lakini 'watiifu na waaminifu' kupita maelezo.
Achilia mbali wale boda wanaokunywa na wake zetu au kuwafata bar wakiwa hoi ili wawalete nyumbani wakati huo we umesafiri kikazi.
Hii connection ya wamama na wadada na bodaboda si ya mchezo.
Nawauliza Wana JF, mkeo ana bodaboda wake?
Consider this,"Freedom of choice and liberty"Ukisikia mama au dada anakwambia ngoja nitamtuma 'bodaboda wangu' basi ujue huyo Bodaboda wake ni bodaboda wake kweli kweli.