😂😂Ana dereva wake
Keyword nimemuzoeaYap hiyo nimeiona sana, unakuta demu kaja kwenye kijiwe cha bidaboda kasimama takriban lisaa lizima anamsubiria bodaboda wake.
Mi nikamuuliza kwani huyo jamaa huwa anakubebaga bure? Kwanini usichukue hizi za hapa uwahi kuliko kuendelea kumsubiria huyo huoni kua unazidi kuchelewa
Akasema "Aah nimemzoea tu naogopa kubadilisha bodaboda mwingine naona anaweza niangusha maana huyu nimemzoea hakimbizi sana"
HahahahahaAna dereva wake
Hii mada ina maswali mengi hapa pengine linaongelewa suala ambalo ni zaidi ya bodabodaUkisikia mmama au mdada anakwambia ngoja ntamtuma 'bodaboda wangu'
Basi ujue huyo Bodaboda wake ni bodaboda wake Kweli kweli..
Nnamjua mdada ambae anamtuma bodaboda wake kumtolea hela Kwa ATM..
Kuna mmoja aliniletea bidhaa nikatakiwa nimrushie zaidi ya 300k..
Nikamwambia makato upande wako..
Akaniambia basi Acha 'namtuma bodaboda wangu'..
Bodaboda anaweza kumsubiri mdada aoge amalize ndo ambebe..
Cha kushangaza bodaboda hawa ni wakali mno kama Wana deal na vidume..
Hawataki kupotezewa mda ..na mahesabu
Ya gharama wanakuwa makini..but Kwa wadada ..watapigishwa round kibao malipo kiduchu lakini 'watiifu na waaminifu' kupita maelezo..
Achilia mbali wale boda wanaokunywa
Na wake zetu au kuwafata bar wakiwa hoi ili wawalete nyumbani wakati huo we umesafiri kikazi.....
Hii connection ya wamama na wadada na bodaboda si ya mchezo...
Nawauliza Wana Jf ..mkeo ana bodaboda wake?...
kuna mda boss unatakiwa kurelax K uma ni yake. bikra hujamtoa. ukifa ukamwacha haitaziba itaendelea kutumika wakati mwingine usifikiri utakufa kabla ya umri alafu hao boda boda wake sasa watamtafuna mpaka wachinjane kwa wivu.
Siku akibadirika uwe mpole tuu.Boda boda wangu ninae nampa atm kadi anatoa hela kwa uaminifu wote, namtuma sokoni namtuma popote, kwa kifupi bodaboda wangu ni zaidi ya ndugu yangu