Kitu kama hiki hakipo. Asituzingue. Kama kuna yeye hapa amewahi ulizwa swali kama hilo aseme.
Lakini nimejifunza mengi.
1. I believe more than 50% ya wanawake walio olewa wamewahi kuonjesha maofisini.
2. Halafu more than 90 % ya wanaume wanao fanya kazi wameonja nje ya ndoa.
3. Kuoa mwanamke aliye soma,anafanya kazi, mwaminifu, mke bora na mwenye msimamo ni kupitisha ngamia katika tundu la sindano.
4.kuolewa na mwanaume aliyesoma, anafanya kazi, mwaminifu, hadanganyi, mpole, smiling all the time ni kwenda kumsalimia malkia wa uingereza kwa kumbusu.
5. Kama wanaume ni waminifu basi na wanawake nao ni hivyo.