HOMOSAPIEN
JF-Expert Member
- Mar 31, 2011
- 745
- 273
Hivi karibuni 2015 watatuelewa vizuri,by the way wakenya hawapendi kuangalia TV,Redio za nje ya Kenya ni wachache sana hata redio zao za kikabila zaidi hakuna anayeshobokea kabila la wengine wakenya,huyo hajui habari za TZ hajui hata za kabila mwenza huko Kenya.Nilikuwa naongea na jamaa mmoja Mkenya, kama kawaida mambo ya siasa yakaanza na Uchaguzi, jamaa akaniuliza ''It seems you people you know alot about Kenyan politics, how come i dont know anything about Tanzanian politics?'' nikakosa jibu, sijui wewe ungemjibu vipi yule jamaa?
..jibu rahisi tu..ni kuwa rais wetu alikuja kuwapatanisha baada ya rais wenu kujiapisha Urais..ndio maana tukajua siasa za hukoNilikuwa naongea na jamaa mmoja Mkenya, kama kawaida mambo ya siasa yakaanza na Uchaguzi, jamaa akaniuliza ''It seems you people you know alot about Kenyan politics, how come i dont know anything about Tanzanian politics?'' nikakosa jibu, sijui wewe ungemjibu vipi yule jamaa?
Nilikuwa naongea na jamaa mmoja Mkenya, kama kawaida mambo ya siasa yakaanza na Uchaguzi, jamaa akaniuliza ''It seems you people you know alot about Kenyan politics, how come i dont know anything about Tanzanian politics?'' nikakosa jibu, sijui wewe ungemjibu vipi yule jamaa?
Hivi karibuni 2015 watatuelewa vizuri,by the way wakenya hawapendi kuangalia TV,Redio za nje ya Kenya ni wachache sana hata redio zao za kikabila zaidi hakuna anayeshobokea kabila la wengine wakenya,huyo hajui habari za TZ hajui hata za kabila mwenza huko Kenya.
Alichomaanisha ni kwamba, inakuwaje Watanzania wanajua sana na kufwatilia siasa za Kenya, wakati yeye hata ukimuuliza Waziri Mkuu wa Tz hamjui, au hata ukimuuliza ni lini kuna Uchaguzi TZ hajui? hapo ndipo nikakosa jibu la kumpa!
Yuko sahihi ! Ungemjibu hatujapigana bado !
Siku Rais wao alipojiapisha baada ya kumteka Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi, na walioshindwa wakaamua kushughulika mtaani, ilikuwa ni promotion tosha !
Ni kweli Mzee ! Hata Bar wanaenda kikabila na kuishi mjini pia wana kaa kikabila, hivyo hawezi kuwa na interest na wengine !
Huyo mzugaji kweli mbona hili wanalijadili from BBC Swahili[h=5]MATOKEO YA KIDATO CHA NNE TANZANIA YAMEWASHANGAZA WENGI KENYA NA BADO NI GUMZO KUBWA KWANI WAMEKUWA WAKIFUATILIA MASWALA YA TZ......WANAFUNZI ASILIMIA 60 WANAPATA SUFURI? MWENGINE BADALA YA KUJIBU MASWALI ALIKUWA ANAANDIKA WIMBO? KWA NINI WANAFUNZI WAMEFELI HIVI?[/h]Aah wap huyo mkenya anazuga 2. Ingekua hvyo kina odinga wasingewalika kina magufur,mbowe kuwakampenia. Walijua fika wakenya wanawajua kina magufur ndo mana odinga akawaita.
Mkuu, hiyo slang "we are not selfishness. . . . ."nimecheka kinoma.we are not selfishness and we are courage to know the life of others for the benefits of our country
Ally sio kupigana tu, wakenya wako juu, juzi mdahalo wao umerushwa live na al jazeera, bongo ukirusha mdahalo unafutwa kazi( Tido)Yuko sahihi ! Ungemjibu hatujapigana bado !
Siku Rais wao alipojiapisha baada ya kumteka Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi, na walioshindwa wakaamua kushughulika mtaani, ilikuwa ni promotion tosha !
Nilikuwa naongea na jamaa mmoja Mkenya, kama kawaida mambo ya siasa yakaanza na Uchaguzi, jamaa akaniuliza ''It seems you people you know alot about Kenyan politics, how come i dont know anything about Tanzanian politics?'' nikakosa jibu, sijui wewe ungemjibu vipi yule jamaa?
We area special people up north! politics in kena puts the region in the world radar and possibly TZ benefits ...u guys shud thank us...anaglieni siasa ya Norht Korea..it makes th3e south benefit! angalia pakistan na India...mmmmm maji baridi
- :smile-big:

Hilo swali nisingeweza kumuuliza kwa maana jibu lake liko wazi Marekani ni Taifa kubwa na ndio maana wanajua mambo yake, sasa kwani nao Kenya ni taifa kubwa kama Marekani mpaka itufanye tusilale kutwa kujadili siasa zao, nafikiri ndio hicho kilichomshangaza?