Mkenya Eliud Kipchoge ameshinda London Marathon kwa mara ya nne mfululizo

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
1,606
1,956
BdTD Berlin Marathon (Reuters/F. Bensch )

Mkenya Eliud Kipchoge ameshinda London Marathon kwa mara ya nne mfululizo huku Muingereza Mo Farah aliyetarajiwa kutoa
Kipchoge ambaye alivunja rekodi ya dunia ya mbio za marathonn mjini Berlin mwaka jana, alikamilisha mbio za leo kwa muda wa saa mbili dakika mbili na sekunde thalathini na nane (2: 02: 38.)
Waethiopia Mosinet Geremew na Mule Wasihun walimaliza katika nafasi ya pili na ya tatu nyuma ya Kipchoge, ambaye alishindwa kuvunja rekodi yake mwenyewe ya Dunia kwa sekunde 59. Farah alimaliza mbio hizo kwa dakika 3 na sekunde moja nyuma ya Kipchoge, huku Muingereza Callum Hawkins akimaliza katika nafasi ya 10.
Kwa upande wa wanawake, Mkenya Brigid Kosgei, 25, alishinda mbio hizo na kuwa mwanamke wa kwanza mwenye umri mdogo kushinda London Marathon kwa wanawake. Mkenya mwingine Vivian Cheruiyot ambaye alishinda mbio za mwaka jana, alimaliza wa pili mbele ya Muethiopia Roza Dereje.
BBC
 
Umekosea kidogo mkuu.. sio mara ya nne MFULULIZO. Ameshinda mara nne ila sio mfululizo. alishindwa mwaka 2017....
Pia berlin alishinda world record kwa 2.01.38.. sio 2.02.38
Ila he is a legend. Hongera zake sana...
 
BdTD Berlin Marathon (Reuters/F. Bensch )

Mkenya Eliud Kipchoge ameshinda London Marathon kwa mara ya nne mfululizo huku Muingereza Mo Farah aliyetarajiwa kutoa
Kipchoge ambaye alivunja rekodi ya dunia ya mbio za marathonn mjini Berlin mwaka jana, alikamilisha mbio za leo kwa muda wa saa mbili dakika mbili na sekunde thalathini na nane (2: 02: 38.)
Waethiopia Mosinet Geremew na Mule Wasihun walimaliza katika nafasi ya pili na ya tatu nyuma ya Kipchoge, ambaye alishindwa kuvunja rekodi yake mwenyewe ya Dunia kwa sekunde 59. Farah alimaliza mbio hizo kwa dakika 3 na sekunde moja nyuma ya Kipchoge, huku Muingereza Callum Hawkins akimaliza katika nafasi ya 10.
Kwa upande wa wanawake, Mkenya Brigid Kosgei, 25, alishinda mbio hizo na kuwa mwanamke wa kwanza mwenye umri mdogo kushinda London Marathon kwa wanawake. Mkenya mwingine Vivian Cheruiyot ambaye alishinda mbio za mwaka jana, alimaliza wa pil¹i mbele ya Muethiopia Roza Dereje.
BBC
Tunaipongeza serikali ya awamu ya 5 chini rais mh. Dr. John Pombe Joseph Magufuli kwa kufanikisha ushindi huu muhimu
 
Watanzania wako Wapi??!!
Hawakushiriki, hawajui kinachoendelea?
Riadha haina MBELEKO
 
Back
Top Bottom