Mkenya anaposikia Rais Magufuli yupo njiani kuwatembelea

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,850
Wakenya wanaoishi Tanzania pale wanaposikia Magufuli yupo njiani kuwatembelea na vibali vya kazi hawana.
ImageUploadedByJamiiForums1452260876.860210.jpg
 
Last edited by a moderator:
ila daah kuna wachagga apo gikomba nairobi sijui itakuaje..
Wala usiwe na hofu hamna mtu atawasumbua wale watz pale gikomba.Wakenya hiyo si tabia yao kuwahangaisha wageni ovyo,tangu enzi zile za Mzee Jomo Kenyatta.Wasudi wako huku Kenya,waganda,wasomali,wanyarwanda,na ukiwauliza watakwambia hapa Kenya wanaishi stress-free!Cha muhimu bora wawe ni walipa kodi na wanaendeleza biashara na kujenga nafasi mpya za kazi,mengine si ya muhimu kwa wakenya,hata mkiwafukuza wakenya wote tz!
 
Umemjibu poa sana, ni bora sana hii kasumba isituingie. Hawa jamaa walilishwa kitu kibaya sana enzi za ujamaa wa Nyerere, hawaendani na yeyote, hebu angalia kule Jamii Forums international, kwa mfano jaribu utaje chochote kizuri kuhusu jirani wao kama Rwanda. Utaona povu full zitakavyomwagika. Maisha ya kutojiamini miaka yote.
 
Kwa maoni yangu mimi, ikiwa kuna wakenya ama raia wowote wanaoishi Tz ama nchi lolote lile kinyume na sheria ya nchi hilo, ni heri hatua za kisheria zichukuliwe, watimuliwe tu.
Lakini kwa wenzetu watanzania, msifanye kuwa hili ni kuwalenga wakenya tu. It cant be that they are the only pipo residing in Tz illegally. I am certain that the vast majority of Kenyans are there legally, doing business, studying and working there. It's absurd to make it appear as though Kenyans are the sole targets of that proposed immigration law. Surely, there are even reported presence of the Chinese living there, probably illegally, and are engaged in petty businesses such as selling second-hand clothes out of stalls, just like those Tznians in Nairobi's Gikomba market!
Thea4 guys, there are also just many Tanzanians living in Kenya pro'bly without the valid documents, doing business here without being bothered by the law, in the name of the ''EAC''.
These anti-Kenyan sentiments here are just petty- and unnecessary.
 
Don't worry man... All foreigners are safe in Bongo regardless of where they come from.. Be it Kenya, UG, Europe, Asia or wherever... All Magufuli is doing is to make everyone abide to the laws..Foreigners should live and work in this country legally. Don't keep those Chaggas in Gikamba enjoying illegal stress-free Kenyan 'jam'.
We need no second opinion on this.
 
Kwa maoni yangu mimi, ikiwa kuna wakenya ama raia wowote wanaoishi Tz ama nchi lolote lile kinyume na sheria ya nchi hilo, ni heri hatua za kisheria zichukuliwe, watimuliwe tu.
Lakini kwa wenzetu watanzania, msifanye kuwa hili ni kuwalenga wakenya tu. It cant be that they are the only pipo residing in Tz illegally. I am certain that the vast majority of Kenyans are there legally, doing business, studying and working there. It's absurd to make it appear as though Kenyans are the sole targets of that proposed immigration law. Surely, there are even reported presence of the Chinese living there, probably illegally, and are engaged in petty businesses such as selling second-hand clothes out of stalls, just like those Tznians in Nairobi's Gikomba market!
Thea4 guys, there are also just many Tanzanians living in Kenya pro'bly without the valid documents, doing business here without being bothered by the law, in the name of the ''EAC''.
These anti-Kenyan sentiments here are just petty- and unnecessary.

Iconoclastes Tatizo huwa sio kwamba Wakenya wanapenda kufanya kazi Tanzania bila vyeti, bali waajiri wa Kitanzania hun'gen'gania kuwaandika kazi Wakenya ilihali hayo makampuni hayana uwezo wa kumlipia gharama ya hicho cheti ambacho huwa $1,400 kwa kila mwajiriwa. Unakuta makampuni mengi yanahangaika hata kubakia kwenye biashara na kwa vile wageni wanafahamika katika utendaji, sasa wanataka kuwaajiri hao wageni lakini gharama inakua maradufu.

Tatizo lingine huwa pale wakati wa kuwasilisha ombi, jamaa wazinguaji ilimradi wapewe hongo. Unakuta hata hii operation ya kuwatimua wageni, wengi wanatumia tu kupiga hela. Maana utakuta waajiriwa wengi wana vyeti lakini vingi huwa vimepitiliza muda/expired.

Lakini nakubaliana na wewe kwamba ukiwa nchi ya watu lazima ufuate sheria zao. Na ndio maana kabla hujafunga virago kwenda huko, unatoa masharti kwa mwajiri, hamna haja ukwende huko kisha uanze kukimbizana na uhamiaji au kuogopa ogopa kujitambulisha kuwa wewe Mkenya mbele ya watu. Hayo maisha ya kipuzi sana haswa kama wewe unajifahamu kuwa mtaalam.
 
I think it is just a populist declaration by the current political strategy to divert attention, kikwete did the same when he took power in 2005, kenyans especially the contracters were really harassed. Populist are bad for business
 
Sio kwamba wa Tz hawana maisha ya kutojiamini, ukweli ni kiwa wana uzalendo, huwezi wafananisha na nchi yoyote afrika, ndio maan husikii hadithi za kinyang'au.
 
Kaka hivi unaifahamu Tanzania yako, haswa hii ya sasa na kizazi cha sasa, mna unyan'gau hata zaidi yetu ambao tuliouanzisha. Mnapiga mamilioni na kuita eti hela ya mboga tu.
 
I think it is just a populist declaration by the current political strategy to divert attention, kikwete did the same when he took power in 2005, kenyans especially the contracters were really harassed. Populist are bad for business

Very true, populists are terrible as they will always want to swim in praises, thus making decisions and judgement based on the attitude by the mass.
 
Mk254 umeongea bonge la point, inafaa kwa mgeni kufuata sheria ya nchi husika, haifa kuishi kwa kujificha.
Pia oparesheni hii haiwalengi wakenya hata kidogo. Wakenya wamejaa sana Tz karibu kila mkoa hasa Arusha wapo wengi sana, wameoa watz, wameolewa na wengine hata wamejenga, wengine wanalima huku, na wengine wananunua mazao. Wapo wengine wanafundisha English-medium schools na mahotelini.
Sijawahi kuona wakijuta ai kulalamika kuonewa au kubaguliwa.
Katika hilo ondoa shaka hatuna asili ya kubagua mtu but kwa wale wasio nakibali nasikitika wataondoka
 
Umemjibu poa sana, ni bora sana hii kasumba isituingie. Hawa jamaa walilishwa kitu kibaya sana enzi za ujamaa wa Nyerere, hawaendani na yeyote, hebu angalia kule Jamii Forums international, kwa mfano jaribu utaje chochote kizuri kuhusu jirani wao kama Rwanda. Utaona povu full zitakavyomwagika. Maisha ya kutojiamini miaka yote.
mimi ni mtanzania nakiri nyerere alizingua sana na sera zake za ujamaa na utaifishaji, ila unapotupaka tope wa tz wote utakua unakosea sana, mfano kenya kuna watu bado wanajali sana makabila na kanda zao, ila siwezi ku generalize nikasema kila mkenya ni mkabila
 
Kwani hawaerzi kupata vibali?
Kwetu hatunanga hayo mambo, kinyozi wangu kwenye salon ni Mkongo, jirani zangu wamenizunguka Wasudan na Watanzania. Kuna Mtanzania mmoja amejenga nyumba nzuri sana za kupangisha karibu na eneo langu ninaloishi. Sisi tunaamini katika wingi wa nguvu kazi kwenye jamii. Ilmradi wanapiga deals zisizovuruga amani na utulivu.
 
mimi ni mtanzania nakiri nyerere alizingua sana na sera zake za ujamaa na utaifishaji, ila unapotupaka tope wa tz wote utakua unakosea sana, mfano kenya kuna watu bado wanajali sana makabila na kanda zao, ila siwezi ku generalize nikasema kila mkenya ni mkabila

Kweli kuna baadhi ya Watanzania wazuri na wasio wabaguzi kabisa, nimekula nao na kuishi nao huko Dar. Kabisa itakua siwatendei haki nikijumuisha Watanzania wote.
 
Back
Top Bottom