Cha muhimu jua mkeka this month utatoka kwahiyo hakikisha umejiandaa vya kutosha maana bado una muda ili ukienda kupiga Paper usibakie unalalamika Paper ngumu au wamewahisha badala ya kuchelewesha.

Nimeomba halafu sijawahi kugusa hata notice halafu ndio umenishtua ngoja nitafute hata notice nipitie maana hii ndio interview ya mwisho naona maana nishafanya interview mpk utumishi wamenikalili sura