Mkeka wa Tamisemi na sensa bado tu?

Mkeka wa Tamisemi na sensa bado tu?

kesho kutwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2016
Posts
1,722
Reaction score
1,993
Toka sa 1 Leo nipo online kuhisi kitu mda wowote unatema maana kwa mjadala ya wadau hapa ndani waliokua wanapredict kua Leo juma 3 majina yataachiwa
 
Kama hujapokea SMS kupitia simu yako ya kiganjani mpaka xx,pole mkeka ushatema kitambo
 
Toka sa 1 Leo nipo online kuhisi kitu mda wowote unatema maana kwa mjadala ya wadau hapa ndani waliokua wanapredict kua Leo juma 3 majina yataachiwa
Mzee wa kusawazisha umekuja na id mpyq
 
Back
Top Bottom