voicer
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 5,553
- 11,885
Alizomewa,akadharirishwa na hatimae akalazimishwa kuachia U-spika.
Baadae walamba asali wakaitana Dodoma kusherehekea ushindi Rasmi.
Sasa wamerudi kwa Kasi Mpya na Ari Mpya.
Ndugai atabakia kuwa mkweli kwa kile alichokisema kuhusu nchi kuuzwa kwa Spidi ya Turbo.
Lile jiwe kubwa la Ruby lililotoroshwa na hatimae kufika Dubai.
Huku tukidanganywa kwa picha ya Samia kuwa Burj el Khalifa.
Royal Tour ikiibuka na michango isiyosemwa hadharani, lakini Rostam akisaini mikataba ya siri kupitia hiyohiyo Royal Tour.
Ngorongoro wildlife Lodge na Manyara kapewa Mwarabu kimyakimya, huku ikihusishwa na ubia wa kigogo wa CCM.
Bwawa la Nyerere linacheleweshwa ili mradi wa Swahiba wa Makamba akamilishe Ujenzi na hatimae kuingia mikataba na Tanesco ili kuuza umeme wa Upepo toka Singida.
Mambo ni meeengi ila na hili la kuanza kuwauza wanyama hai wetu.
Tena bila kulihusisha bunge letu, ili liridhie kama ni sawa.
Kweli ilikuwa sahihi kwa CCM-Asali kutumia nguvu zote kuhakikisha Ndugai ananyamazishwa mapema iwezekanavyo.
Yangu ni Hayo tu.
commonmwananchi
100101
View attachment 2251020View attachment 2251021View attachment 2251022