Mkeka mbao/Marble Sheet vs vigae, kipi ni chaguo bora?

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
20,725
Reaction score
31,308
Kumekuwa na nguvu kubwa na kutangaza mkeka mbao na marble sheet. Wataalamu wanaojua mambo, ningependa kujua uimara wa hizo bidhaa mpya ambazo mimi nazifananisha na plastiki tu, kama zile kapeti.
 
Kama pesa ipo weka marble kinyume chake pambana na hali uliyonayo
 
Back
Top Bottom