MUME:"Nambie ukweli mke wangu,hivi
ushavunja uaminifu wako wa ndoa
mara ngapi?
MKE:"Mara ya kwanza nililala na
mwenye nyumba,sababu alidai kodi
yake"
MUME:"Mmmh...sio mbaya"
MKE:"Mara ya pili ni siku ulipofanyiwa
operation ikawa hakuna pesa ikabidi
nilale na dokta ili utibiwe"
MUME:"Kweli unanijali mke wangu"
MKE:"Mara ya tatu ni ule wakati
ulipokuwa unaomba kura za
ubunge,ikabidi nitembee na wapiga
kura wote ili wakupigie kura! Ndo
maana ukashinda uchaguzi"
.
.
Mume akazimia