Mke wangu simuelewi

huyo ex wa mkeo kama anamke mtafute ili nawe uanzishe mawasiliano naye, ili kuweka mizinga na majeshi tayari. akiona unampigia pigia mkewe simu itamuingia akilini
 
Mkuu Paulo,
Hayo maneno ya Jerry ni haya.....
Even if you had a relationship with someone,
Well lets say especially if you've had a relationship with someone.
And you try to become friends afterwards
Very difficult isn't it
It's hard because you know each other so well
You know
You know all each others tricks
It's like 2 magicians trying to entertain each other
You know
The one goes "look a rabbit"
The other one says "so"



Sasa hapo hauhitaji kupima na futi kamba......wanamalizia walichobakiza
 
Kamata mwizi men!!!!!!!!!!!! Hapa unaibiwa zabibu zako, ila unaonekana Mr lia, lia na ndio maana mkeo kapata kichaka cha kujificha....Ukishindwa kufanya maamuzi na kuwa mwanaume basi na ujiandae kisaokolojia maana siyo muda kitanda kitazaa haramu kama bado.
 
Yes yes. Thanx, Chief.
 
Bahati nzuri,umeshuhudia manyoya bado unajiuliza kama hajaliwa?..Chagua moja kati ya haya;1.Mwambie wazi kuwa hutaki mawasiliano yeyote na ex wake na ufuatilie utekelezaji 2.Kama hatokuelewa "Let her go" hayo ni mawingu yanajikusanya,utakuja ulie.3.Jiandae na plan B usije ukapata shock atakavyoondoka kwa shangwe na ex wake ukagundua ulikuwa ulikuwa "kituo cha basi" abiria akisubiri usafiri wake.
 
Kikwetu hii haina mjadala, yaani amefikia level ya kuomba wewe ndoo utoe hela za kumkopesha. Duh, mimi hii haiingii akilini
 
tatizo kama lako liliwahi kunipata miaka kama sita iliyopita...ilikuwa kama anavyofanya wife wako tena mimi nilienda mbali zaidi kwa kumwambia yule jamaa aache mawasiliano na mke wangu..nikazui lakini mke akagoma...baadae nikawashika ugoni wakivunja amri ya sita nyumbani kwangu ....nikaachana na mke..lakini nikafikili huyo jamaa namfanyaje...kwa uzoefu wa kazi zangu nikafatilia ni wapi huwa anaenda kutengeneza gari lake na pia kuliosha nikafatilia kwa siri kubwa...baadae wakati gari likiwa garage kwa maarifa yangu nikamwekea dawa za kulevya mle ndani..wakati huo nimeshaanda vijana wa ernest mangu ..wakati anatoka tu garage kwa umbali wa kama km 3 akasimamishwa na kukutwa na madawa hayo....picha zikapigwa akiwa na kidhibiti....yuko jela miaka 25 ....mwanaume kamili huwa hachezewi kijinga
 

watu mnamasihara sana aisee!!
 

hakafu hata huyo mtoto itabidi akamcheki kwa DNA. Inaonesha huyo mwanamke anaakili fupi sana.
 
Hivi ex ni simba? Ukimuona kimbia?

Je wanamahusiano ya kimapenzi na hao ex??

Teh teh..Mpendwa naamini unatania

Seems like she has some baggage from the previous relationships she's refusing to let go. Kama hupendi na umeshamwambia ila hasikii, then na wewe kuwa tu ex muwe marafiki/ndugu.

Mpendwa, hebu acha masihara. Kuna umuhimu gani wa kuwasiliana/kuwa karibu na ex, tena hapa ni exes kabisa?

If she's willing to put her marriage in danger to help the ex, then suala la kukumbushia huitaji jury for conviction.

Bro umenifilisi maneno
 
Mtoa maada huyo mkeo ni kiburi sasa simama kama mwanaume.
Mwambie ulishasema hutaki mawasiliano na hao x wake. Na kama utjihakikishia katuma pesa basi anza kufanya haya.
. Usimshirikishe wala kumuuliza jambo lolote kuhusu maisha ya ndoa
. Kuwa busy na mambo yako na ufanye kwa siri
. Kama ulikuwa unarudi mapema nyumban tafuta sehem hata kama ni kaofis kadogo uwe unachelewa kurudi na ukirudi iwe salam tu na kujulia hali ya mtoto baada ya hapo kama ni mpenz wa kuperuzi peruzi then lala hakuna mjadala wowote wa maendeleo.

. Kama kuna jambo anahitaji msaada wa mawazo au vitendo itikia tu bila hata kuonesha kutilia maanani.
. Acha kushiriki naye tendo mara kwa mara na hata ukishriki usioneshe ushirikiano.

Ongeza juhudi kwenye mambo ya maendeleo ili aone matokeo tu na akikuuliza kwann hujamshirikisha mwambie tu haina haja.
.
 
Hapo ni mapenzi full mahaba. Mkeo bado anampenda sana x hadi anashindwa kujizuia na hayuko tayari kumpoteza tena, ataendelea kusaidiana naye kwa hali na mali wewe uko naye tu kwa bahati mbaya. Kuongea na kusalimiana na ex sio dhambi ila kwa hali ya mkeo hadi anamkopea pesa, tena kwako wewe mumewe!!! kapenda kaoza... hao hawataachana ng"oooooooooo.
Jikaze mtoto wa kiume kemea na kataa hali hii kabla ndoa haijapasuka
 

Sasa mtu mmeashaachana,umeolewa bado mnawasiliana ili iweje? Tena sio kuwasiliana tu na unataka umkopeshe na hela!!! Mumeo kakwambia hafurahii kitendo hicho bado unadiriki kumwambia utamsaidia tu hata aweje! Hivi kweli unaweza kuhatarisha ndoa yako kumsaidia mpenzi wako wa zamani?!!

Kipi muhimu ndoa yako au rafiki yako wa zamani?!
 
Mpendwa basi tunatofautiana....
Ex? Mnaanzia wapi kunjunjuana?????yakhhhhhh
Mpendwa mwanamke/mwanaume uliyewahi kunjunjana nae ni rahisi sana kurudia tena kunjunjana nae(zaidi kama bado mna mahusiano ya karibu) kuliko mtu ambaye hamjawahi kabisa..Iko hivyo..
 
Mkuu kujitambua muhimu sana nyakati hizi. Naona unadhani we ni mstaarabu kumbe hujitambui.
 
Hapo kuna MAHUSIANO na yuko tayari kwa lolote... Amua kusuka au kunyoa..
 

Mawazo mazuri sana haya.
 

Utafanyaje kama mtu si mwaminifu ktk maisha yake ?!. Na ndio maana hivi vibinti visomi na vifanyabiashara hua ni tabu kujenga navyo familia, vinajiamini kupita kiasi, vimekutana na watu wengi cz ya mazingira.

Inaumiza sana kujua mkeo ana mawasiliano na watu wengine especially ex's. Namshauri jamaa awe bize na mambo yake zaidi, kwani si siku nyingi lazima hiyo ndoa ife
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…