Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,233
- 26,753
naomba kujua ni kwa nini mitaa ya posta na kuna nini?
grafani11 amepigwa marufuku kuonekana humu kwenye mtandao kisa eti anatamka love love kwako
So umtegemee mpaka mwezi mwandamo ndo utamuona humu
Sasa wewe unataka amuombe nani gemu? Kama vipi ajiri msaidizi.
Mamndenyi bana, sasa hao wa posta ndio inakuaje? ofsn si wanatumiaga lift tu au?Mtafutie kazi yoyote,
na kama uko bongo
hakikisha unamtafutia mitaa ya posta
uone kama atakuwa hata na hamu ya hiyo kitu.
Aaah!!How old are u??unakimbiaje majukumuWakuu,
yani shem wenu nikianza J3 kazini mpka Ijumaa nikirud toka ofisini anataka gemu..hua ananiachaga wikiend tu kwa vile hua nashindaga nae nyumbani..mpaka sasa sielewi ni kua haniamini au ni nini..na mimi sijawahi kufikiria kumsaliti mke wangu ata siku 1
naomba kujua ni kwa nini mitaa ya posta na kuna nini?
Njemba inakimbia wajibu wake kama mume. Ni bora akatafuta wasaidizi ili mkewe "asimsumbuesumbue" tena.