Mke wangu simuelewi

Mke wangu simuelewi

Wakuu,
yani shem wenu nikianza J3 kazini mpka Ijumaa nikirud toka ofisini anataka gemu..hua ananiachaga wikiend tu kwa vile hua nashindaga nae nyumbani..mpaka sasa sielewi ni kua haniamini au ni nini..na mimi sijawahi kufikiria kumsaliti mke wangu ata siku 1

sasa kama we humuelewi afu waishi naye, je mimi49 ambaye yuko "somewhere far far away" ataanzaje kumuelewa huyo mkeo?, pili suala la mama kupata mgegedo ni haki yake vinginevyo susia matakwa yake utakuja tena hapa ukilia, na pia kama unahisi unahitaji msaada ajiri kijana (HB kisha uwe unajifanya kazi za ofisini ni nyingi, sometimes usirudi nyumbani) tena utakuwa umesaidia sana wadogo zangu manake wanajazana kitaa na huku wana elimu tosha kumkichwa..
 
ana wivu na pia hakuamini, kila siku huwa anahisi ulikuwa na mwanamke mwingine kabla ya kuja nyumbani kwa hiyo anafanya hivyo kama kukukomoa na kukupima kama utamwambia umechoka ili mawazo yake ayahalalishe. ndo maana weekend hakuombi sababu uko nyumbani kwa hiyo hana wasiwasi. jaribu kupata off ya week nzima ukae nyumbani usitoke uone kama atakuwa anakuomba kila siku, na jaribu weekend kutoka urudi umechelewa uone kama hatakuomba
 
umenichosha tuu na liuzi lako sasa ulitakaje au nikusaidie nn mimi kama msomaji wa hii uzi
 
waungwana kwani daily dhambi, maana me naona hata kila saa ikibidi sasa na haya maushauri mmnayompa kwa kweli hayana ushirikiano, siwezi hata jifunza na mimi
 
Niwajibu wako kumtimizia mkeo haja zake, ndio ndoa hiyo ndugu hau hujui maana ya ndoa, neno linasema,,, kwa sababu ya zinaa basi kila mtu na awe na mke wake, na mume ampe mkewe haki yake vile vile mke na ampe mumewe haki yake, soma [1 wakorinto 7:1>5] mpende mke wako usilalamike timiza wajibu wako je ukimkuta na mwanamume mwingine utalalamika?
 
hahaaa Mr Rocky nimekumiss sana.......

haya ni majanga premier.............sijui hata tufanyaje sie!!!!!!

Aite watu wamsaidie sasa kama anaona kero kwa mke wake kutaka kila siku
Au ampe kazi ya kumkeep busy ikifika jioni awe choka mbaya asiwe na tamaa ya hiyo mambo
Wengine wanatafuta hizo mambo wanakosa wanaenda kubaka kuku na mbuzi yeye anazipata na anaringa
 
bahati hiyo mkuu ,au unadhani kuna alternative unipe namba yake nikusaidie?
 
sasa kama we humuelewi afu waishi naye, je mimi49 ambaye yuko "somewhere far far away" ataanzaje kumuelewa huyo mkeo?, pili suala la mama kupata mgegedo ni haki yake vinginevyo susia matakwa yake utakuja tena hapa ukilia, na pia kama unahisi unahitaji msaada ajiri kijana (HB kisha uwe unajifanya kazi za ofisini ni nyingi, sometimes usirudi nyumbani) tena utakuwa umesaidia sana wadogo zangu manake wanajazana kitaa na huku wana elimu tosha kumkichwa..
mimi49 kafanyaje tena!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Aite watu wamsaidie sasa kama anaona kero kwa mke wake kutaka kila siku
Au ampe kazi ya kumkeep busy ikifika jioni awe choka mbaya asiwe na tamaa ya hiyo mambo
Wengine wanatafuta hizo mambo wanakosa wanaenda kubaka kuku na mbuzi yeye anazipata na anaringa

mwenye bahati habahatiki.......

wengine wakirudi wanatamani hata kuguswa lakin ndo kwanza wamegeuziwa mgongo

kwanza umenionea wapi my King grafani11
 
Last edited by a moderator:
Sasa hapo tatizo liko wapi mkuu?

Halafu kusema wiki nzima ina maana hana mzunguko wa mwezi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom