Mke Wangu Sharti ajue Mshahara Wangu????

Kwa vile umeonyesha ubaguzi mm naendelea kubaki bubu

Am Sorry Mpwa, ni kwa vile ume-edit tu ila nimesema na wadau wengine! Nisingeweza kuandika members wote wa JF, ni wengi mno! Niwie radhi mkuu!
 
Mke na mume ni mwili mmoja sioni sababu yakufichana masalari slip, kuna matukio mengi nayaona mke hajui kinachoendelea kuhusu mume matokeo yake mume anatangulia mbele za haki mke hajui aanzie wapi, cio vizuri kufichana chochote.
 
HEHEHE!
una bahati sana wewe!
majority ya wanawake wako hivyo

hehehe...sample size?

U know what..with teh current women emancipation processes, hili la kujuana kipato ni muhimu na ni MUHIMU zaidi kila mtu akachangia maendeleo ya familia.

Amesema Masaki kuwa mkishaoana mnakuwa mwili mmoja. Please usiingie kwenye ndoa ukijua kuwa chako ni cheni na cha mkeo cha kwake...ipo siku maisha yatakuwa chini upande mmoja, lakini upande mwingine ukiwa fresh, hakuna kinachoharibika.

Kamwe kama wewe ni kichwa cha nyumba, usikubali eti mkeo mshahara wake 'auchezee' kwenye saluni na kujenga kwao....fanyeni mambo yenu kwa UMOJA na UPENDO. hakuna ubaya akijenga kwake lakini mjenge wote na familia yake ita appreciate....of course kuna 'wakwe' wengine wanawashauri vibaya watoto wao wa kike once wanapoolewa kuwa wewe 'jenga nyumba yako kwa SIRI ukiachwa je'?

So being a MAN..means (but not limited to)LEADING, LOVING, and RESPECTING ur wife and family
 
Sina uhakika kama hili lilishajadiliwa hapa? Ila ningependa kupata maoni ya wadau hapa JF. Niekuwa nikijiuliza mara kwa mara, Mwanamke anawezakuwa anapata Shs. Mil 5 kwa mwezi, Mwanaume Shs. Mil 2, Lakini bado kila kitu utasikia, Baba nanilii, unga umeisha, mchele hakuna, Luku imeisha. Watoto wakitaka school fees ama madaftari, utasikia mwambie babayako. Mama yeye ni Salon ama kujenga kwao na samtymz bila kukwambia!

Hii imekaaje jamani akina Chrispin, Geoff, bht, Bujibuji, carmel, FirstLady 1 , George_Porjie, JS, klorokwini, Lily Flower, MwanajamiiOne, Ngongo, Nguli, Preta, Pretty, Prodigal Son, Shishi, SMU, Soulbrother, Sumbalawinyo na wadu wengine humu JF.

Michango yenu ni muhimu sana!!!!!!!!

Si ili apendeze! mens si wanaenda bar?

Kama maelewano ndani ya ndoa yapo, hali kama hii haiwezi jitokeza, mwisho wa mwezi hela inawekwa mezani bila kujali nani ana shs ngapi zinapangiwa matumizi.

Kama ndoa imefikia hatua ya kila mtu anasema changu... hiyo sio ndoa tena, ni ndoano.
 
Sasa na wewe Kaizer umesema vema kooooote umeharibu kwenye signature yako--- Ntachanaje nywele wakati nina kipara? Au una maanisha nini hapo?
 
...HEHEHE!
naona taska za jana zilikuwa na ''additional ingredients'' zilizokupelekea kuongea haya.

tuendelee......
 
Sasa na wewe Kaizer umesema vema kooooote umeharibu kwenye signature yako--- Ntachanaje nywele wakati nina kipara? Au una maanisha nini hapo?

Mi naomba 'suiziangalie dhambi zangu'....so maadamu umesema nimesema vema I take that part...lol
 
Mke na mume ni mwili mmoja sioni sababu yakufichana masalari slip, kuna matukio mengi nayaona mke hajui kinachoendelea kuhusu mume matokeo yake mume anatangulia mbele za haki mke hajui aanzie wapi, cio vizuri kufichana chochote.
mwili mmoja but tunaangalia maisha katika daireksheni tofauti. hapo ndo inabidi baazi ya something tubaniane. wakati mimi nafkiria kusevu elfu kumi kila mwezi ili tupate nyumba yetu,tusiwe tunapangishwa deili, waifu pengine yeye anafikiria kupata laki moja ya kununua ka kanzu kapya ka kwendea kicheni pati. he he he! tutauwana jamani!
 
ivi wewe hukuapa for beta or for was till death do u pat?au hukuelewa maana yake?
Sina uhakika kama hili lilishajadiliwa hapa? Ila ningependa kupata maoni ya wadau hapa JF. Niekuwa nikijiuliza mara kwa mara, Mwanamke anawezakuwa anapata Shs. Mil 5 kwa mwezi, Mwanaume Shs. Mil 2, Lakini bado kila kitu utasikia, Baba nanilii, unga umeisha, mchele hakuna, Luku imeisha. Watoto wakitaka school fees ama madaftari, utasikia mwambie babayako. Mama yeye ni Salon ama kujenga kwao na samtymz bila kukwambia!

Hii imekaaje jamani akina Chrispin, Geoff, bht, Bujibuji, carmel, FirstLady 1 , George_Porjie, JS, klorokwini, Lily Flower, MwanajamiiOne, Ngongo, Nguli, Preta, Pretty, Prodigal Son, Shishi, SMU, Soulbrother, Sumbalawinyo na wadu wengine humu JF.

Michango yenu ni muhimu sana!!!!!!!!
 
Si ili apendeze! mens si wanaenda bar?

Kama maelewano ndani ya ndoa yapo, hali kama hii haiwezi jitokeza, mwisho wa mwezi hela inawekwa mezani bila kujali nani ana shs ngapi zinapangiwa matumizi.

Kama ndoa imefikia hatua ya kila mtu anasema changu... hiyo sio ndoa tena, ni ndoano.

Kwenye ndoa hakuna kitu kinachoitwa changu hata mtu afanye kwa siri kiasi gani ikigundulika tu (labda aweke kwa jina la mtu mwingine) but wakati wa divorce kama kuna kugawana ni pasu kwa pasu my dears. Utaulizwa hiyo unayosema ni yako umeipata wakati gani? kama ni baada ya ndoa (yaani ukiwa kwenye ndoa) ghiyo ni ya pamoja. Tena unawezashtakiwa kwa kosa la kuiibia familia kipato. KWani chochote mnachokipata wakati huo ni cha familia yaani wote so ukikitumia hicho unachoita chako kwa siri wewe ni mwizi, unajiibia !!
 
mwili mmoja but tunaangalia maisha katika daireksheni tofauti. hapo ndo inabidi baazi ya something tubaniane. wakati mimi nafkiria kusevu elfu kumi kila mwezi ili tupate nyumba yetu,tusiwe tunapangishwa deili, waifu pengine yeye anafikiria kupata laki moja ya kununua ka kanzu kapya ka kwendea kicheni pati. he he he! tutauwana jamani!
HAPO SASA!
jamani tuache mwanaume aitwe mwanaume....na SALARI YAKE IBAKI KUWA SIRI
 
Kwenye ndoa hakuna kitu kinachoitwa changu hata mtu afanye kwa siri kiasi gani ikigundulika tu (labda aweke kwa jina la mtu mwingine) but wakati wa divorce kama kuna kugawana ni pasu kwa pasu my dears. Utaulizwa hiyo unayosema ni yako umeipata wakati gani? kama ni baada ya ndoa (yaani ukiwa kwenye ndoa) ghiyo ni ya pamoja. Tena unawezashtakiwa kwa kosa la kuiibia familia kipato. KWani chochote mnachokipata wakati huo ni cha familia yaani wote so ukikitumia hicho unachoita chako kwa siri wewe ni mwizi, unajiibia !!

Mmmmh! Itabidi nijiulize upya kama kweli nataka kuoa mwanasheria! :)
 
jamni hii mada ni muhimu kwani imekuwa tatizo kubwa kwenye ndoa nyingi hasa pale mke anapokuwa na kipato kikubwa.mimi naamini kwamba mkisha kuwa mke na mume mmekuwa mwili mmoja inamaana vyote mlivyonavyo nivyenu ebu fikiri mme ni mwajiriwa analipwa 2.mil wife analipwa 5.mil alafu bado mke anakuwa tegemezi kwa mume je huu sio kunyonyana jameni tuwe wawazi jamaa yangu yalimkuta alichomwambia mke wake kama utaki pesa yako kuchangia chochote ktk familia basi kaa om ili nikutumze 100 persee
 
jamani inategemeana, wale wanawake wa enzi za mwalimu, inawezekana, hawa wa ari mpya na kasi mpa, akijua unaibuka na sh ngpi, umekwisha!!!!!!!!

migogoro haiishi,

mshiko ukiwa mkubwa atatka ukajenge kwao kwanza ndio umalizie kabanda kenu, ukibisha, inakuwa ishu, hata haki uliyolipia mahari hupati!!!!!!!!!

kasalari kakaiwa kadogo, basi hesabu umeumia, hata yale maji ulokuwa ukipelekewa bafuni, yanapotea, makamuzi ni mpaka mkomvisi kama unamtongoza upya na aridhie!!!!!!!!!

mkitoka droo, maumivu matupu, ubishi humo ndani, kwa shikh yahaya pana nafuu!
 
Pia inasaidia kupanga bajeti zenu hasa kama mmeamua kuwa na maendeleo katika familia !!!
..FL1 huenda wewe umebarikiwa ana kuwa na hiyo busara kuwa endapo utajua mumeo anapata ngapi then mtakaa na kupanga bila kelele. Lakini amini usiamini, kuna wanawake ambao atakapojua mume anapata kiasi gani na bahati mbaya sana ka-salary akikaona kwa akili yake ni kakubwa usitegemee kama utabaki hata na hela ya kuruka na chui chui. Maana utakapomwabia hii naweka poketi money yangu utasikia kwani unaifanyia nini?? Ah! bora tu apate pesa kulingana na mahitaji yake habari nyingie salary yangu ni siri ya geshi kama alivyosema Geoff..
 
Back
Top Bottom