Mke wangu nimemtimua leo

Wanaume wa Dar mnalilia? mbona ninyi. Ni wasaliti wakubwa na tunawavumilia? acheni utoto. Umekaa ukamuonya?
Nani kakuambia mwanaume anasaliti nyie ndo mnao saliti mana hamuwezi beba mimba za wanaume 2 ukiolewa utimiziwe majukumu tu inatosha sio kumchunguza mwanaume
 

TOKEA LINI BINADAM AKAZAA NDANI YA MIEZI 7? AMEKUWA KUKU?

Na huyo mama yako atakupa K uoshe kirungu au atakufariji vipi?

Una umri gani?
Nafikiri bado hauja acha kunyonya ziwa la mama.
Mtu akiosha kirungu kwa mkeo, na wewe unaenda kuosha kirungu kwa mke wake, ndio udume.


Bora ulivo muacha, si mwanamke kamili wewe, na ndio maana demu wako anachukuliwa na mwengine.
Ilibidi ujue sababu kwanini kakusaliti, maybe wewe mwenyewe ndio chanzo.
 

Pole sana mkuu kwa yaliyokusibu japo napata pia mashaka pale unaposema wacha uamishie mapenzi yako kwa mama yako na kwamba tukuache utulie (maana ushaamua) ukichoka utakuwa unaenda kwa mama yako akufariji... Ok, Ok, sina maana hiyoo. Japo mama ni mama lakini hawezi ku cover penzi lililopotea you know what I'm saying. Usihofu sana mbona wanawake wapo wengi tu utapata mwingine. Lakini usisite kutupa mrejesho mkipatanishwa na kurudiana tena au ukioa anayekufaa zaidi. Hivo tu yaani.
 

Kweli kabisa umenena ya maana. Mume mwenye kadosari, kama kupanda ndege ndio cha maana sana vile!!!! au kumfundisha jinsi ya kutumia vitu vyake ni cha maana vile? Anaonesha anapenda ukubwa ukubwa na sifa sifa
 
pole ila nimecheka[emoji23][emoji23] eti tukuache Kwan tumekushika
 

Huyo ni Kademu ka mama. Mwanaume gani anaetaka afarijiwe na mama yake? Mwili mwanaume lakini kichwani mwanamke. Hata muandiko wako inaonesha kama mwanamke hivi, ndio maana kasalitiwa. Dume la mbegu ndio anakula,
 
Pole sana[emoji24]
 
we sema tu umemuacha kwasababu hajapata mtoto ndani ya miaka 7 toka muoane
 
Pole sana maana naona hautaki ushauri, Sasa naomba baadae uje utupe mrejesho baada ya kumwacha kawaje au anaendeleaje!
 
Hahahahaaaaa pole sana kwa masahibu ndio ukubwa huo
 
Ivi hiki kizazi tunaelekea wapi... Kusalitiana Imekuwa daily... Daaaaah
 
 

Pole mkuu ila hizo kauli "sitaki tena mwanamke/mwanaume" huwa mnazitoa kwa mihemko sana. Ni hukumu isiyo haki na unajikomoa mwenyewe maana wanawake hawafanani.
Tulia, mwombe Mungu akutie nguvu na kukuongoza. Ip siku utakutana na mwanamke sahihi, hizo kauli utazimeza.

Vv
 
usipokua na staha ya kuficha ya ndani ya nyumba hufai kuitwa mume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…