Mke wangu nimemtimua leo

Ni wanaume wangapi wanasaliti ndoa zao na bado wanawake wanavimilia huku akiwa na maumivu moyoni, wengine mnadiriki kuleta mchepuko ndani kwa kumdharau mkeo lakini wsnawake wanawavumilia. ninyi mbona mnashindwa kuvumilia tatizo lipo wapi? mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu
 
Daah...yan mwezi huu ni breakups malalamiko had ambao hatujaoa tunaogopa.sasa....ila uamuzi mzuri mkuu mtu kama huyo unaishije naye kwa mfano
 
Mkuu hapa umemaliza ........ulichokiandika hapa n ....big point .. .. Nafkir huyu jamaa angekuwa ana uelewa huu asingelalamika leo...
 
Usifanye hivyo njoo kwangu ni muaminifu hautajuta kunifahamu fanya maamuzi sahihi sasa, karibu.
 
Asikwambie mtu jamaniii kujua mwenzi wako anakusaliti na bado ukaendelea nae hcho nacho ni kipaji.Pole sana kaka Mungu atakupa wa kufanana na ww
 
Ni wanaume tu pekee watakuelewa hapa, wavulana hawatoelewa chcht
 
umefanya maamuzi ya kiume, hiyo ni kawaida tafuta wengine gonga cku ziende co kuzira
 
(red font), Unataka kusema hukuwa na mapenzi na mamaako pamoja na kukuzaa, ila sasa ndiyo wataka kuhamishia mapenzi (au umeandika kwa hasira) kwake baada ya kuachana na mkeo! Halafu kumbuka kuwa mapenzi ya mama na mapenzi ya mkeo ni mapenzi mawili tofauti, vile ulivyokuwa ukimpenda mkeo ni tofauti na utakavyompenda mamaako. Kuna mambo ulikuwa ukipata kwa mkeo lakini kwa mamaako huwezi pata!
 
Huwa tunawashauri acheni kutafuta mke kwa kuangalia sura hamtusikii mnatuona washamba. haya ona sasa
 
Reactions: bbc
Wewe kiazi kweli mama yako unataka uwe unakutana naye faragha?
 
Ingekuwa ni mwanamke watu wangesema:
VUMILIA.
Ndoa ni shida na raha ndo shida hizo.
wanaume ndo nature yao.
kama anatimiza majukumu yake muache atajrudi.

NASHANGAA POLE ANAZOPEWA HUYU!!!!!!!
 
Kumbe hadi kupanda ndege kunafundishwa?
Nawaza tu
 
Ukback255 kama wewe sio wale wanaume wa "nature yetu" , Pole saaana.

kama ndo wale, ndo ujue sayansi uliyofundishwa ilikuwa ya uongo. unaona mkeo anavyopenda dyudyu
 
Nakuunga mkono kwa aya yako ya mwisho,ila nahisi kuleta hapa sio kwamba lege lege. Ila anataka Uzi wake uwe na comment nyingi tu ili nae aonekane kama anachangia humu,ila Wanaume lazima tuwe madictecta kwa wake zetu,lazima tenki mbele mwanamke aendeshwi kwa democrasia,na wengi wanakaribiwa na mazingira magumu kwenye ndoa kwa sababu ya kupenda ushauli sana toka kwa wake zao.si kila analotaka mwanke ulifanye hata kama nila msingi lifanye kwa muda mwingine ,nakumpingapinga kidogo huku ukimuonyesha msimamo,mtadumu,wanawake wapo wengi sana
 
CHACHAWAO stand up[emoji121] [emoji121] [emoji110] [emoji110] mambo ndio haya kuoa nooooooh
 
Mmh! Kaka @Ukback25 kuna mapenzi ya mtoto kwa mama, na mume na mke. Sema huyo mkeo kakukosea ila Huwezi kupata mapenzi ya mke kwa mamako Mzazi hata siku moja. Samehe tafuta mwingine anayekufaa oa upate mapenzi toka kwa mkeo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Reactions: bbc
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…