Mke wangu nimemtimua leo

Wanaume wa Dar mnalilia? mbona ninyi. Ni wasaliti wakubwa na tunawavumilia? acheni utoto. Umekaa ukamuonya?
Samahani mkuu....
Hivi unaanzaje kumkanya mtu ambae tayari umethibitisha kwamba anakusaliti...[emoji15] [emoji15]
Au ndio unamwambia kwamba... love, kwakua nimesha gundua kwamba hua una tafunwa, basi nimekusamehe lakini usiendelee na tabia hiyo ya kutafunwa..[emoji45] [emoji45]
 
Pole sana, si vyema kuchukia moja kwa moja wanawake. Nakushauri pata muda wa kutosha wa kupumzisha akili yako na baada ya hapo rudisha moyo wako nyuma ufaidi muda mdogo wa maisha tuliyopewa duniani, maisha ni jinsi wewe mwenyewe unataka yawe, Hakuna aliye mkamilifu, Si vyema kuchunguzachunguza, wanawake hawatofautiani sana.
 
Haya ww wa nn mm namhitaji nitumie namba yake kama kwel umeachana nae
 
Pole sana kuchapiwa inauma sana, na nikovu lisilopotea, mana hata performance kwenye mapenz ungepoteza mana hyo ni reflective stress, na ungemtesa sana kipsychology. Ila usimwache huku bado unataman, na usimrudie ukimrudia tuu, atachepuka Tena, Mana utaonyesha uzaifu, kama ungetaka kuzibt ungemnyosha Sawa saw na huyo jamaa ungemfuata ajuwe unajuwa anachokifanya,
 
Miezi 7 ya ndoa amekusaliti? hapo kuna shida
 
Safi sana mkuu....mwanaume lazima uwe na uwezo wa kufny maamuz magum pale inapobidi....ila sasa mama hawez kukufariji bhana tafuta mwngn wa kukufariji
 
ukamfundisha kupanda ndege????au sijaelewa!! unajua unachokiandika kweli??
 
kama umefunga nae ndoa usimwache kirahisi hivyo
 
Mbona wataka kumpa mama yako majukumu mazito ambayo hayamstairi?
 
Ukisusa Siye Twala Mkuu Nipe Namba Zake Basi Aje Kwangu Mi Ht Anisaliti Vipi, Mi Cjali Kbisa K Haina Expired Date.
 
Pole mkuu,ni bora nusu shari kuliko shari kamili.Mungu akuongoze!!!
 

Mpuuzi nn mama yako hakufariji kama mkeo sio inamaana ulikuwa huna mapenz na mama yako sio ? Baada yakuona mkeo amekusaliti ndio unasema unahamishia mapenz kwa sio acha zako umevurugwa nn, hata kama umevurugwa ndio umeshindwa kujizuia il huongee shida ilikukuta na mkeo ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…