Wew jamaa kumbe hua hunaga point namna hiiNdiyo maana amekusaliti, Wanaume kama ninyi Wanawake huwa aidha wanawamwaga au wanakusaliti kama alivyokufanyia, kwa maana hakuheshimu, Mwanamke anapenda Mwanaume strong na siyo lege lege, sasa tabia uliyoonyesha ya kuleta hapa malalamiko ya Mke wako kumegwa, inaonyesha wewe ni lege lege na ndiyo maana alikudharau na kutembea nje!
Kwa kukusaidia tu jaribu kubadilika na uwe Mwanaume imara ili siku nyingine ukipata mwingine akuheshimu, tatua matatizo na siyo kulia lia, Mwanamke anashindwa kuona tofauti yako na yake na hatimaye kupoteza heshima kwako na kukumwaga!
haukuwa muda sahihi kwa Mungu kuna watu wanakaa hata miaka na miakaMiezi seven hata ka mimba hakuna? Utakuwa na matatizo wewe!
Sasa kama kagongewa amvumilie wa niniUshirikina huu sasa
Wewe Mama yako ndio akufariji sawa na Mke?
Laana inakuita,hata kama unatafuta kiki JF,jua unalaana Tayari
Mungu hajaribiwi wala hafanyiwi inda
We unafikiria kuoa ni kukurupuka tu,eeee,watu tuna 12 yrs kwenye ndoa,raha raha tu,
Na kama kumfundisha kupanda ndege na kutumia vitu vya ndani huo ni ushamba wako,na inaonyesha kwamba uelewa wako ni modgo saaana.
Kila mtu alifundishwa vitu hivyo hakuna aliezaliwa anavijua.
Ungeniambia kwamba Umemfundisha Dini na mafunzo ya Dini kama Mke,hapo ningesema kweli wewe ndio Mwanaume Bora na Mungu angekupa Baraka telee.
Tafuta mwanamke mwingine mkuu kuna faraja za faragha huwezi kuzipata kwa mama yako mzaziKwa sasa sitaki mwanamke wa aina yeyote niacheni nitulie nikichoka nitakuwa nikienda kwa mama yangu na ananifariji.
Huu ni ushauri wa hovyohovyo, na bahati mbaya mleta uzi hajaomba kushauriwa, bali ameleta ushuhuda tuUsaliti upo tangia enzi za Adam na Hawa...mrudie mkeo
Ona kakazika sasa kamfukuzaNdiyo maana amekusaliti, Wanaume kama ninyi Wanawake huwa aidha wanawamwaga au wanakusaliti kama alivyokufanyia, kwa maana hakuheshimu, Mwanamke anapenda Mwanaume strong na siyo lege lege, sasa tabia uliyoonyesha ya kuleta hapa malalamiko ya Mke wako kumegwa, inaonyesha wewe ni lege lege na ndiyo maana alikudharau na kutembea nje!
Kwa kukusaidia tu jaribu kubadilika na uwe Mwanaume imara ili siku nyingine ukipata mwingine akuheshimu, tatua matatizo na siyo kulia lia, Mwanamke anashindwa kuona tofauti yako na yake na hatimaye kupoteza heshima kwako na kukumwaga!
Toba....[emoji87] [emoji87] [emoji87]Mkuu kuna mambo mengine mama yako anakufariji vp?emvu acha mambo ya ajabu
Wew jamaa kumbe hua hunaga point namna hii
Unasema kaja hapa kulia lia kwan kakuomba ushauri nn cha kufanya
Mwanaume kakuletea maamuz aliyokwisha yafanya tayari Wapi alipo lia lia
Ewwaaaaaahhhhh......[emoji39] [emoji39] [emoji39]wee njoo nikufariji wewe muache mama alishakuzaa inatosha