Mke wangu nimemtimua leo

Mke wangu nimemtimua leo

Ukback255

Senior Member
Joined
Aug 31, 2016
Posts
174
Reaction score
278
Mke wangu niliyekaa naye kwa muda wa miezi 7 kwenye ndoa sasa nimeamua kuachana naye moja kwa moja.

Nimemwambia aondoke kwangu baada ya kumpa uthibitisho wa kunisaliti na yeye kuukataa bahati nzuri sijazaa naye na Jana niliamua kuenda naye kufanya pregnant test baada ya kukuta hana mimba nimeamua kuachana naye.

Niligundua amenisaliti kwa kiwango cha hali ya juu, sasa baada ya kuthibitisha aliyekuwa anamdanganya na yeye ameoa yupo na mke nimeamua nimuache nione kama ataweza kuwaoa wote wawili.

Nilimwamini sana nilimpa kila kitu mpaka nikamfundisha kupanda ndege, kutumia baadhi ya vifaa vya ndani kwani alikuwa hana uelewa wa baadhi ya matumizi ya vifaa alivyokuta ndani kwangu.

Sina mapenzi tena na mwanamke wacha niamishie mapenzi yangu kwa mama yangu. Kwa sasa sitaki mwanamke wa aina yeyote niacheni nitulie nikichoka nitakuwa nikienda kwa mama yangu na ananifariji.
 
Mke wangu niliyekaa naye kwa muda wa miezi 7 kwenye ndoa sasa nimeamua kuachana naye moja kwa moja .

Nimemwambia aondoke kwangu baada ya kumpa uthibitisho wa kunisaliti na yeye kuukataa bahati nzuri sijazaa naye na Jana niliamua kuenda naye kufanya pregnant test baada ya kukuta hana mimba nimeamua kuachana naye.

Niligundua amenisaliti kwa kiwango cha hali ya juu sasa baada ya kuthibitisha aliyekuwa anamdanganya na yeye ameoa yupo na mke nimeamua nimuache nione kama ataweza kuwaoa wote wawili.

Nilimwamini sana nilimpa kila kitu mpaka nikamfundisha kupanda ndege,kutumia baadhi ya vifaa vya ndani kwani alikuwa hana uelewa wa baadhi ya matumizi ya vifaa alivyokuta ndani kwangu.

Sina mapenzi tena na mwanamke wacha niamishie mapenzi yangu kwa mama yangu.

Kwa sasa sitaki mwanamke wa aina yeyote niacheni nitulie nikichoka nitakuwa nikienda kwa mama yangu na ananifariji .....
MAMA YAKO AKUFARIJI?
WEWE NI MCHAWI AMA?
 
Ndiyo maana amekusaliti, Wanaume kama ninyi Wanawake huwa aidha wanawamwaga au wanakusaliti kama alivyokufanyia, kwa maana hakuheshimu, Mwanamke anapenda Mwanaume strong na siyo lege lege, sasa tabia uliyoonyesha ya kuleta hapa malalamiko ya Mke wako kumegwa, inaonyesha wewe ni lege lege na ndiyo maana alikudharau na kutembea nje!

Kwa kukusaidia tu jaribu kubadilika na uwe Mwanaume imara ili siku nyingine ukipata mwingine akuheshimu, tatua matatizo na siyo kulia lia, Mwanamke anashindwa kuona tofauti yako na yake na hatimaye kupoteza heshima kwako na kukumwaga!
 
pole mkuu kuna kausemi kanasema GRASS IS ALWAYS GREENER ON THE OTHER SIDE. mwanamke alitamani kuwa sawa na Mungu akala tunda, atashindwa kutamani wanaume wengine na kuwapa papuchi? hawa viumbe wanalilia kuolewa sio kwasababu wanakupenda saana ila wanataka kujihakikishia maisha tu.

mshike mshike ndege tunduni, sie wajanja tumeshakimbia.
 
Ushirikina huu sasa
Wewe Mama yako ndio akufariji sawa na Mke?
Laana inakuita,hata kama unatafuta kiki JF,jua unalaana Tayari
Mungu hajaribiwi wala hafanyiwi inda

We unafikiria kuoa ni kukurupuka tu,eeee,watu tuna 12 yrs kwenye ndoa,raha raha tu,
Na kama kumfundisha kupanda ndege na kutumia vitu vya ndani huo ni ushamba wako,na inaonyesha kwamba uelewa wako ni modgo saaana.
Kila mtu alifundishwa vitu hivyo hakuna aliezaliwa anavijua.
Ungeniambia kwamba Umemfundisha Dini na mafunzo ya Dini kama Mke,hapo ningesema kweli wewe ndio Mwanaume Bora na Mungu angekupa Baraka telee.
 
Mke wangu niliyekaa naye kwa muda wa miezi 7 kwenye ndoa sasa nimeamua kuachana naye moja kwa moja .

Nimemwambia aondoke kwangu baada ya kumpa uthibitisho wa kunisaliti na yeye kuukataa bahati nzuri sijazaa naye na Jana niliamua kuenda naye kufanya pregnant test baada ya kukuta hana mimba nimeamua kuachana naye.

Niligundua amenisaliti kwa kiwango cha hali ya juu sasa baada ya kuthibitisha aliyekuwa anamdanganya na yeye ameoa yupo na mke nimeamua nimuache nione kama ataweza kuwaoa wote wawili.

Nilimwamini sana nilimpa kila kitu mpaka nikamfundisha kupanda ndege,kutumia baadhi ya vifaa vya ndani kwani alikuwa hana uelewa wa baadhi ya matumizi ya vifaa alivyokuta ndani kwangu.

Sina mapenzi tena na mwanamke wacha niamishie mapenzi yangu kwa mama yangu.

Kwa sasa sitaki mwanamke wa aina yeyote niacheni nitulie nikichoka nitakuwa nikienda kwa mama yangu na ananifariji .....
Miezi seven hata ka mimba hakuna? Utakuwa na matatizo wewe!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom