Fadhili Paulo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2011
- 3,211
- 996
Yapata miaka mitano toka tuoane na mke wangu lakini kwa kipindi hiki chote hatujaliwa kuwa na mtoto na tumejaribu kuzunguka kwa wataalamu mbalimbali lakini imeshindikana na mimi nahitaji kuwa na mtoto wanajf naombeni maoni yenu kwa hili suala,ahsante.
Mmethibitishiwa hospitalini kwamba yeye ndiye mgumba?