Mke Wangu Ni Mchawi Hatari,Nisaidieni Ndugu Zangu.

Pole sana Mkuu Wise Boy, jina zuri la wise kumbe jitu lenyewe ni lijinga hakuna mfano!, kwa kuanzia kuamini uchawi ni upungufu wa akili!, ulipokubali kuchanjwa mwili mzima, ndipo zile akili kidogo zilizobakia zikahamishwa na kushikiliwa na mganga, unapopaka hiyo dawa, unaingia kwenye hypnotism ya kuwa kwenye the highest state of mind suggestibility, ukishapaka tuu, akili zako zote zinahama unabaki totally empty, chochote mganga atakachofikiria ndio wewe utakiona!, akiamua umuone mwanao ni nyoka!, utamuona ni nyoka!.

Achana na upuuzi huo wa kuamini uchawi!, yaani lijitu ni lijinga ajabu linakubali kuondaka nchini kwake hadi Kongo eti kumfuata mganga?!.

Ama kweli kuwa kichaa, sio lazima mpaka mtu akaokote makopo!.

Pole!.

Pasco

Mr Pasco,niombe Msamaha Mzee Wangu Mie Nimeandika Kile Nilichoambiwa Na Si Kwamba Mimi Ndo Muhusika Wa Hilo Tukio,umesoma Haraka Bila Kuelewa Uka Comment Harshly Hebu Rudia Tena Kuisoma Topic Yangu,mie Siyo Lijinga.
 
Nenda kwa kanisani muombe mungu that is best solution usikimbilie kwa waganga
 
Mtunzi daraja la mwisho, hadithi za chekechea hizo bado hujafuzu kuwasimulia watu wazima.
 
Wakuu Habari Hii Ni Kweli Kabisa Nami Nimeamua Kuileta Kwenu Kama Nilivyoambiwa Na Rafiki Yangu Ambaye Kila Siku Analia Na Amekata Tamaa Kabisa.Mara Ya Kwanza Nilipoambiwa Kuwa Mke Wangu Ni Mchawi Sikuamini Hata Kidogo Ila Kila Sehemu Habari Zilitapakaa Kuwa Ninaishi Na Mchawi,niliamua Kwenda Congo Sehemu Inaitwa Kalemii Ambako Ili Kupata Dawa Kwa Mganga Wa Jadi Huko Nilichanjwa Mwili Mzima Na Kupewa Dawa Ya Kupaka Machoni Inayoona Wachawi,niliporudi Nyumbani Niliiweka Machoni Hiyo Dawa Usiku Wa Manane Na Ndipo Niliposhuhudia Kwa Mara Ya Kwanza Jambo Ambalo Sitalisahau Maisha Mwangu,pale Kitandani Nikidhani Usiku Wote Ule Nilikuwa Namkumbatia Mke Wangu Kumbe Haikuwa Hivyo,fisi Mkubwa Ajabu Alikuwa Pale Kalala Nilipiga Kelele Kwa Hofu Wanangu Wakaamka Wote Sekunde Ile Ile Fisi Yule Akatoweka Na Mke Wangu Sikumuona Hadi Saa Kumi Alfajiri Nilipomuona Akirudi Akiwa Uchi Mwilini Kajipaka Dawa Nyeusi Alipogundua Nimembaini Akasema Lazima Nife,ndugu Zangu Nifanyeje? Dawa Niliyochanjwa Congo Ndo Inanilinda Sasa.
muue wewe sasa kama umeona inafaa kumuua..
 
Mr Pasco,niombe Msamaha Mzee Wangu Mie Nimeandika Kile Nilichoambiwa Na Si Kwamba Mimi Ndo Muhusika Wa Hilo Tukio,umesoma Haraka Bila Kuelewa Uka Comment Harshly Hebu Rudia Tena Kuisoma Topic Yangu,mie Siyo Lijinga.
Mkuu Wise Boy, ni kweli, nakuomba msamaha!, ni kweli nimekurupuka kukushambulia, bure, I'm very sorry for this ila ila pia
ilipaswa kuwa hivi..

Wakuu Habari Hii Ni Kweli Kabisa Nami Nimeamua Kuileta Kwenu Kama Nilivyoambiwa Na Rafiki Yangu Ambaye Kila Siku Analia Na Amekata Tamaa Kabisa

Hapa sasa ulipaswa kusema nanukuu, na kuweka fungua semi na kumalizia na funga semi!.

"Mara Ya Kwanza Nilipoambiwa Kuwa Mke Wangu Ni Mchawi Sikuamini Hata Kidogo Ila Kila Sehemu... Nimembaini Akasema Lazima Nife,ndugu Zangu Nifanyeje? Dawa Niliyochanjwa Congo Ndo Inanilinda Sasa.

Na baada ya kumaliza ulipaswa kuweka funga semi na kusema mwisho wa kunukuu!.

Nakiri ni kweli nimekunukuu vibaya, haswa baada ya kukukuta uzi huu,
Ndugu zangu wana JF,kwanza kabisa nawasalimu nyote kwa jina la Yesu,mwana wa MUNGU aliye hai,(samahani,hii ni kwa imani yangu tafadhali.) baada ya salamu,mimi ni kijana mwenye uchungu mkubwa sana na mafanikio,nikilenga hasa kuwasaidia wasio nacho.

Ninachoandika hapa ni kweli tupu,nilizaliwa katika familia maskini kupindukia,shuleni nilienda bila viatu,baadae nikaja kupata kazi ktk kampuni moja kubwa ya kuchimba dhahabu na nikawa nalipwa sh 850,000 kwa mwezi,kwa ndoto nilizonazo,nimetoka familia ya kimaskini ya watoto 12,wazazi wangu wananitegemea,na ndugu zangu pia,nikaamua ni bora nipite njia isiyopitwa na watu wengi.
kampuni yangu itakuwa inaingiza sh mil 150 kwa mwezi, kwa hiyo kama sadaka kwa mambo mema ambayo MUNGU wangu amekuwa akinitendea, nitajenga makanisa 50 katika mikoa yote ya Tanzania, hiyo ndo nadhiri niliyoiweka kwa MUNGU WANGU.

Mbarikiwe jamani.
alafu mtu huyu huyo kuja na uzi huu wa leo
 
Wakuu Habari Hii Ni Kweli Kabisa Nami Nimeamua Kuileta Kwenu Kama Nilivyoambiwa Na Rafiki Yangu Ambaye Kila Siku Analia Na Amekata Tamaa Kabisa.Mara Ya Kwanza Nilipoambiwa Kuwa Mke Wangu Ni Mchawi Sikuamini Hata Kidogo Ila Kila Sehemu Habari Zilitapakaa Kuwa Ninaishi Na Mchawi,niliamua Kwenda Congo Sehemu Inaitwa Kalemii Ambako Ili Kupata Dawa Kwa Mganga Wa Jadi Huko Nilichanjwa Mwili Mzima Na Kupewa Dawa Ya Kupaka Machoni Inayoona Wachawi,niliporudi Nyumbani Niliiweka Machoni Hiyo Dawa Usiku Wa Manane Na Ndipo Niliposhuhudia Kwa Mara Ya Kwanza Jambo Ambalo Sitalisahau Maisha Mwangu,pale Kitandani Nikidhani Usiku Wote Ule Nilikuwa Namkumbatia Mke Wangu Kumbe Haikuwa Hivyo,fisi Mkubwa Ajabu Alikuwa Pale Kalala Nilipiga Kelele Kwa Hofu Wanangu Wakaamka Wote Sekunde Ile Ile Fisi Yule Akatoweka Na Mke Wangu Sikumuona Hadi Saa Kumi Alfajiri Nilipomuona Akirudi Akiwa Uchi Mwilini Kajipaka Dawa Nyeusi Alipogundua Nimembaini Akasema Lazima Nife,ndugu Zangu Nifanyeje? Dawa Niliyochanjwa Congo Ndo Inanilinda Sasa.

Wise boy nisaidie dawa ya kumshika mtu ugwoni. You are very wise....wisdom is greater than intelligency.
 
Wakuu Habari Hii Ni Kweli Kabisa Nami Nimeamua Kuileta Kwenu Kama Nilivyoambiwa Na Rafiki Yangu Ambaye Kila Siku Analia Na Amekata Tamaa Kabisa.Mara Ya Kwanza Nilipoambiwa Kuwa Mke Wangu Ni Mchawi Sikuamini Hata Kidogo Ila Kila Sehemu Habari Zilitapakaa Kuwa Ninaishi Na Mchawi,niliamua Kwenda Congo Sehemu Inaitwa Kalemii Ambako Ili Kupata Dawa Kwa Mganga Wa Jadi Huko Nilichanjwa Mwili Mzima Na Kupewa Dawa Ya Kupaka Machoni Inayoona Wachawi,niliporudi Nyumbani Niliiweka Machoni Hiyo Dawa Usiku Wa Manane Na Ndipo Niliposhuhudia Kwa Mara Ya Kwanza Jambo Ambalo Sitalisahau Maisha Mwangu,pale Kitandani Nikidhani Usiku Wote Ule Nilikuwa Namkumbatia Mke Wangu Kumbe Haikuwa Hivyo,fisi Mkubwa Ajabu Alikuwa Pale Kalala Nilipiga Kelele Kwa Hofu Wanangu Wakaamka Wote Sekunde Ile Ile Fisi Yule Akatoweka Na Mke Wangu Sikumuona Hadi Saa Kumi Alfajiri Nilipomuona Akirudi Akiwa Uchi Mwilini Kajipaka Dawa Nyeusi Alipogundua Nimembaini Akasema Lazima Nife,ndugu Zangu Nifanyeje? Dawa Niliyochanjwa Congo Ndo Inanilinda Sasa.

kwa hiyo na wewe ni mwanga!?
 
Kwa hiyo wiseboy huyo rafiki yako alikuwa anagegeda fisi? Hebu mwambie atuhadithie utamu wake!!!
 
Kaa huyu jamaa ni yule wa ajali, wa kujenga makanisa, wa pm nyingi, wa kampuni ya dhahabu n.k..

Ukiacha watu kufikiria unachizika.. mi nadhani uongo mwingi
 
Mwambie Yesu. Kazi rahisi sana

Sio kumwambia Yesu tu mambo kama haya yanatakiwa uwe na imani thabiti usiwe moto wala baridi na imani yako isiwe haba zaidi ya hapo shetani atammeza huyu jamaa manake hapo alipo ana mavifungo ya ibilisi kwanza neno, kusema amechanjwa hilo ni chukizo mbele za Mungu na kama ni mkristo kasome Biblia itakuweka huru kuhusu Mungu huyu muumba wa mbingu na nchi tunaemwamini ,
Anasema mimi ni Mungu mwenye wivu na huwapatiliza wana maovu ya baba zao,
Yakupasa ndugu utubu uvunje laana zote na mavifungo yote uliyojifunga wewe pamoja na kizazi chako, umrudie Muumba akupe rehema usali sala ya toba,
Ukitoka hapo funga na kusali huku ukiifunika familia yako kwa damu Ya Yesu Kristo wa Nazareti aliye hai hakika kama mkeo ni mchawi na kukaidi kutubu na kumrudia Mungu atakufa amini hivyo natafuta maandiko ndani ya Biblia yanayohusu maombi dhidi ya mchawi nikuwekee hapa usome uone nguvu Ya Mungu ilivyo Kuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom