Mke Wangu Ni Mchawi Hatari,Nisaidieni Ndugu Zangu.

Kosa lako la kwanza ni kwenda kwa mganga, nani atakuamini kama uliona fisi? Nenda kwenye maombi hiyo ndio kazi ya mzee wa upako na wenzie watakupa suluhu laa sii hivyo utakufa kweli, pole wayego.
 
Mkuu Wise Boy, ni kweli, nakuomba msamaha!, ni kweli nimekurupuka kukushambulia, bure, I'm very sorry for this ila ila pia
ilipaswa kuwa hivi..

Hapa sasa ulipaswa kusema nanukuu, na kuweka fungua semi na kumalizia na funga semi!.

Na baada ya kumaliza ulipaswa kuweka funga semi na kusema mwisho wa kunukuu!.

Nakiri ni kweli nimekunukuu vibaya, haswa baada ya kukukuta uzi huu,

alafu mtu huyu huyo kuja na uzi huu wa leo

mimi ni mcha Mungu,sasa Nina Marafiki Wengi Ambao Wengine Ni Washirikina Kama Huyo Niliyeleta Uzi Wake,mie Si Muhusika Ni Vizuri Sana Mtu Akasoma Kwa Umakini Na Kuelewa Nini Nimeandika,
 
Kaa huyu jamaa ni yule wa ajali, wa kujenga makanisa, wa pm nyingi, wa kampuni ya dhahabu n.k..

Ukiacha watu kufikiria unachizika.. mi nadhani uongo mwingi

Ndugu Yangu Wanadamu Sie Ni Wagumu Sana Kuelewa,usichanganye Mambo,mada Ya Ajali,kampuni Ya Dhahabu Na Hili La Huyu Kuoa Mchawi Viko Tofaut Sana,kila Jambo Hapo Lina Uchambuz Wake,tukianza Na Ajali Ni Kweli Nilipata,tukija Kwenye Kampuni Ya Dhahabu Ni Kweli Kuna Wadhamini Kutoka Australia Ambao Nitafanya Nao Kaz Na Kisha Uwezekano Wa Kampuni Kuingiza 150 Mil Tsh Per Month Ni Mkubwa Sana,tatizo Hujatembea Ukaona,unaijua Gold Wewe Ilivyo Na Thamani? Tena Kwa Taarifa Yako Hiyo 150 Mil Per Month Ni Ndogo Sana,maana Hiyo Ni Gross Earning Bado Hujalipa Mishahara,kodi,gharama Za Kuendesha Kampuni Kama Mafuta Umeme Na N.K Mwisho Unajikuta Umebaki Na Sh Mil 5 Tu Kila Mwez Sasa Hapo Ajabu Nini? Mie Sina Cash Ya Biashara Niliuza Mawazo Yangu Kwa Wenye Pesa Na Sasa Mchakato Unafanyika,wao Ndo Watapata Zaidi Maana Ndo Wenye Capital.
 
Wakuu Habari Hii Ni Kweli Kabisa Nami Nimeamua Kuileta Kwenu Kama Nilivyoambiwa Na Rafiki Yangu Ambaye Kila Siku Analia Na Amekata Tamaa Kabisa.Mara Ya Kwanza Nilipoambiwa Kuwa Mke Wangu Ni Mchawi Sikuamini Hata Kidogo Ila Kila Sehemu Habari Zilitapakaa Kuwa Ninaishi Na Mchawi,niliamua Kwenda Congo Sehemu Inaitwa Kalemii Ambako Ili Kupata Dawa Kwa Mganga Wa Jadi Huko Nilichanjwa Mwili Mzima Na Kupewa Dawa Ya Kupaka Machoni Inayoona Wachawi,niliporudi Nyumbani Niliiweka Machoni Hiyo Dawa Usiku Wa Manane Na Ndipo Niliposhuhudia Kwa Mara Ya Kwanza Jambo Ambalo Sitalisahau Maisha Mwangu,pale Kitandani Nikidhani Usiku Wote Ule Nilikuwa Namkumbatia Mke Wangu Kumbe Haikuwa Hivyo,fisi Mkubwa Ajabu Alikuwa Pale Kalala Nilipiga Kelele Kwa Hofu Wanangu Wakaamka Wote Sekunde Ile Ile Fisi Yule Akatoweka Na Mke Wangu Sikumuona Hadi Saa Kumi Alfajiri Nilipomuona Akirudi Akiwa Uchi Mwilini Kajipaka Dawa Nyeusi Alipogundua Nimembaini Akasema Lazima Nife,ndugu Zangu Nifanyeje? Dawa Niliyochanjwa Congo Ndo Inanilinda Sasa.

Emmanuel TV - "Changing Lives, Changing Nations, Changing the World!" | Founded by T.B. Joshua
 
Rudi Congo kamuue. Hakufai huyo. Au kama unaamini nenda kaite mchungaji asaidie kusambaratisha uchawi.
 
Kaa huyu jamaa ni yule wa ajali, wa kujenga makanisa, wa pm nyingi, wa kampuni ya dhahabu n.k..

Ukiacha watu kufikiria unachizika.. mi nadhani uongo mwingi

Ndugu Yangu Wanadamu Sie Ni Wagumu Sana Kuelewa,usichanganye Mambo,mada Ya Ajali,kampuni Ya Dhahabu Na Hili La Huyu Kuoa Mchawi Viko Tofaut Sana,kila Jambo Hapo Lina Uchambuz Wake,tukianza Na Ajali Ni Kweli Nilipata,tukija Kwenye Kampuni Ya Dhahabu Ni Kweli Kuna Wadhamini Kutoka Australia Ambao Nitafanya Nao Kaz Na Kisha Uwezekano Wa Kampuni Kuingiza 150 Mil Tsh Per Month Ni Mkubwa Sana,tatizo Hujatembea Ukaona,unaijua Gold Wewe Ilivyo Na Thamani? Tena Kwa Taarifa Yako Hiyo 150 Mil Per Month Ni Ndogo Sana,maana Hiyo Ni Gross Earning Bado Hujalipa Mishahara,kodi,gharama Za Kuendesha Kampuni Kama Mafuta Umeme Na N.K Mwisho Unajikuta Umebaki Na Sh Mil 5 Tu Kila Mwez Sasa Hapo Ajabu Nini? Mie Sina Cash Ya Biashara Niliuza Mawazo Yangu Kwa Wenye Pesa Na Sasa Mchakato Unafanyika,wao Ndo Watapata Zaidi Maana Ndo Wenye Capital.
 
Ndugu funguka maana imeandikwa 'hakuna uchawi kwa Yakobo wala uganga kwa Israel...' Hes.23:23 , kwa hiyo ndugu uchawi upo la kufanya mkubali Mungu na maagizo yake nawe utakuwa salama (MUNGU AKIWA UPANDE WETU NANI ALIYE JUU YETU ,Rum8:20-...)
 
Kaa huyu jamaa ni yule wa ajali, wa kujenga makanisa, wa pm nyingi, wa kampuni ya dhahabu n.k..

Ukiacha watu kufikiria unachizika.. mi nadhani uongo mwingi

Ndugu Yangu Wanadamu Sie Ni Wagumu Sana Kuelewa,usichanganye Mambo,mada Ya Ajali,kampuni Ya Dhahabu Na Hili La Huyu Kuoa Mchawi Viko Tofaut Sana,kila Jambo Hapo Lina Uchambuz Wake,tukianza Na Ajali Ni Kweli Nilipata,tukija Kwenye Kampuni Ya Dhahabu Ni Kweli Kuna Wadhamini Kutoka Australia Ambao Nitafanya Nao Kaz Na Kisha Uwezekano Wa Kampuni Kuingiza 150 Mil Tsh Per Month Ni Mkubwa Sana,tatizo Hujatembea Ukaona,unaijua Gold Wewe Ilivyo Na Thamani? Tena Kwa Taarifa Yako Hiyo 150 Mil Per Month Ni Ndogo Sana,maana Hiyo Ni Gross Earning Bado Hujalipa Mishahara,kodi,gharama Za Kuendesha Kampuni Kama Mafuta Umeme Na N.K Mwisho Unajikuta Umebaki Na Sh Mil 5 Tu Kila Mwez Sasa Hapo Ajabu Nini? Mie Sina Cash Ya Biashara Niliuza Mawazo Yangu Kwa Wenye Pesa Na Sasa Mchakato Unafanyika,wao Ndo Watapata Zaidi Maana Ndo Wenye Capital.
 
Mkuu unatunga sana story halafu za kitoto na za bongo movie

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Dawa ya bishoo kuwa bishoo zaidi yake' dawa ya mchawi ni kuwa mchawi zaidi yake' kwa hiyo mkuu we kua mchawi zaidi ya mkeo uone kama ataweza kukuua
 
Sio kumwambia Yesu tu mambo kama haya yanatakiwa uwe na imani thabiti usiwe moto wala baridi na imani yako isiwe haba zaidi ya hapo shetani atammeza huyu jamaa manake hapo alipo ana mavifungo ya ibilisi kwanza neno, kusema amechanjwa hilo ni chukizo mbele za Mungu na kama ni mkristo kasome Biblia itakuweka huru kuhusu Mungu huyu muumba wa mbingu na nchi tunaemwamini ,
Anasema mimi ni Mungu mwenye wivu na huwapatiliza wana maovu ya baba zao,
Yakupasa ndugu utubu uvunje laana zote na mavifungo yote uliyojifunga wewe pamoja na kizazi chako, umrudie Muumba akupe rehema usali sala ya toba,
Ukitoka hapo funga na kusali huku ukiifunika familia yako kwa damu Ya Yesu Kristo wa Nazareti aliye hai hakika kama mkeo ni mchawi na kukaidi kutubu na kumrudia Mungu atakufa amini hivyo natafuta maandiko ndani ya Biblia yanayohusu maombi dhidi ya mchawi nikuwekee hapa usome uone nguvu Ya Mungu ilivyo Kuu.[/Qdu

duu huyu mungu wala hayuko fear sasa maovu ya baba apatizwe mtoto. mmmmm kosa la mwengine azabu mwengine
hii ni sawa na kumwambia mtu akubebee maumivu yako au mtu kuwa na njaa akamwambia mwenziwe amlilie
 
"Usimwache mwanamke mchawi kuishi." - Kutoka 22:18

Natania, hebu waende wakaombe toba maana naona wote ni wachawi hapo! Wamezidiana nguvu tu.
 
Mkuu unatunga sana story halafu za kitoto na za bongo movie

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Kwa Ufahamu Wetu Sisi Weusi Ni Ngumu Kuamini Kuwa Naandika Kweli Na Si Story,kwanza Hilo Ni Tukio Lililomkuta Rafiki Yangu Mie Kanisimulia Nami Nikaweka Humu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom