AIDS took my uncles life it was early 1990s ,I was devastated,nilikuwa high school .wakati huo AIDS unasikia tuu but that was home my uncle ambae always nilikuwa nasema if anything happens to my mom he will be there to take care of me.He was humble,giving and lovely yaani mama angu alikuwa Analia anakaa Kwenye bathtub anamiomba mungu usiwe AIDS well it was AIDS claiming nu uncles life .Alianza kuumwa kichwa,kichwa yaani mama angu akasikia kunadawa China akampeleka Huko wapi ,alikaa Huko kwa Muda wa Miezi 3 .siku anarudi kwa kweli sikwenda Aiport my mom driver na uncle zangu 9 ( I was blessed with a lot of uncles ) basi nipo nyumbani chumbani naona gari Hilo kuchungulia dirishani Kwenye Geti dah,my uncle yaani amekwisha kabisa yaani wamenipa kibahasha tu abebe ,basi yaani mama angu spent massive aHabari zenu wana JF.
Poleni na mihangaiko ya wiki nzima na leo hatimaye mmerejea kulijenga taifa. Jamani nimejitokeza leo kuwaeleza true story ya maisha yangu na kama kuna ushauri basi nitaupokea. Mimi nilioa kwa ndoa takatifu mwez Sept 2012. Ilipofika Nov 2012 Mke wangu alipata ujauzito na kila m2 kati yetu akawa na furaha.
Sasa ilipofikia muda wa kwenda clinic kama ilivyo ada mnatakiwa kuwa wote ili kuweza kupata nasaha na hatimaye kupima maambukizo ya HIV. Baada ya yote tukapima na yeye Mke wangu akakutwa anaishi na virus va UKIMWI na mimi niko salama kabisa. Kwel alilia sana na Nurse akapata shida sana ya kumbembeleza hatimaye akatulia na tukatoka akwa na uso wa tabasamu bandia.
Tulipofika nyumban kilio kilianza upya na mimi nikionekana usoni sina hata lepe la hofu wakati moyoni nilikuwa naumia sana. Baadae ucku akaniomba kuwa kwa sababu Kanisani tulifundishwa kuwa ndoa yaweza vunjwa kama mmoja wapo akionekana ni malaya. Ki ukwel mimi nilimkatalia nikamwambia Mi ni wake mpaka kifo kitakapo tutenganisha, wala hakuamini macho yake.
Kwa sasa anaonekana yuko at least normal ki akili na leo ameenda kazini. Yeye binafsi ni muumini mzuri na anapenda kwel kuimba na kumsifu Mungu. Naomba ushauri wenu tafadhali.
zikipasuka? nadhani hata huyo mama hatokubali kufanya nae tena .kama ni muungwana! sidhani kama anaweza kumuweka mume wake hatariniCondom zipo
AIDS took my uncles life it was early 1990s ,I was devastated,nilikuwa high school .wakati huo AIDS unasikia tuu but that was home my uncle ambae always nilikuwa nasema if anything happens to my mom he will be there to take care of me.He was humble,giving and lovely yaani mama angu alikuwa Analia anakaa Kwenye bathtub anamiomba mungu usiwe AIDS well it was AIDS claiming nu uncles life .Alianza kuumwa kichwa,kichwa yaani mama angu akasikia kunadawa China akampeleka Huko wapi ,alikaa Huko kwa Muda wa Miezi 3 .siku anarudi kwa kweli sikwenda Aiport my mom driver na uncle zangu 9 ( I was blessed with a lot of uncles ) basi nipo nyumbani chumbani naona gari Hilo kuchungulia dirishani Kwenye Geti dah,my uncle yaani amekwisha kabisa yaani wamenipa kibahasha tu abebe ,basi yaani mama angu spent massive a
Amount of money to make him happy .my uncle alikuwa 38 years old .Basi mama akaamua akakae kwake and make him comfortable na ale balanced diet .Lakini kwa kweli it was the worse experience ever na Kuanzia hapo nikaacha kuwa na boyfriend yaani nilichanganyikiwa mnoooo.AIDS took my no 1 uncle I will never forget that .Kumuona mama angu anahangaika namna ile my mother cried almost everyday .AIDS took my uncle march 2 1993 .Nilijifunza kuwa na mtu mmoja na huyo ndio
Mume wangu mpaka sasa.AIDS is not a laughing matter it kills and destroys.
kaka, usijali cha msingi mwambie mkeo huo si ugonjwa, ajue Virus si ugonjwa, UKIMWI ndo ugonjwa, anaweza ishi miaka mingi na virus hvyo, cha msingi ni kuwa makini na kutumia kondom, mkeo usimwache na pia baada ya miezi mi3 nenden mnpime tena, hosp tofauti. for real inauma hasa ukizingatia wewe huna, mwambie asiwaze ale bata atakuwa na furaha, wapo wengi wanaishi na virusi na wapo gud. akifikia hatua ya ugonjwa sasa wa ukimwi ndo balaa.
KIKUNGU uje uone ushuhuda hapa! natalia jamani china tumefikaje/ alitibiwa china tu?
wabongo wana unconditional love kweli? bora angekuwa ameolewa na muzungu eeh?Unaongelea early 90's .Ilikuwa inatisha na mtu mnahangaika tu.Uko china auntie yangu alikuwa Anaishi Huko .Huyu kaka asimuache mkewe ,she needs love and support system .Unconditional love is all about .Mke wake mzima mpaka Leo ila hakuacha mtoto .
Gud advice.. but kumbuka siku hiz ugonjwa wa ukimwi unaua vizurI si km zamani ...unakufa na afya yako
Habari zenu wana JF.
Poleni na mihangaiko ya wiki nzima na leo hatimaye mmerejea kulijenga taifa. Jamani nimejitokeza leo kuwaeleza true story ya maisha yangu na kama kuna ushauri basi nitaupokea. Mimi nilioa kwa ndoa takatifu mwez Sept 2012. Ilipofika Nov 2012 Mke wangu alipata ujauzito na kila m2 kati yetu akawa na furaha.
Sasa ilipofikia muda wa kwenda clinic kama ilivyo ada mnatakiwa kuwa wote ili kuweza kupata nasaha na hatimaye kupima maambukizo ya HIV. Baada ya yote tukapima na yeye Mke wangu akakutwa anaishi na virus va UKIMWI na mimi niko salama kabisa. Kwel alilia sana na Nurse akapata shida sana ya kumbembeleza hatimaye akatulia na tukatoka akwa na uso wa tabasamu bandia.
Tulipofika nyumban kilio kilianza upya na mimi nikionekana usoni sina hata lepe la hofu wakati moyoni nilikuwa naumia sana. Baadae ucku akaniomba kuwa kwa sababu Kanisani tulifundishwa kuwa ndoa yaweza vunjwa kama mmoja wapo akionekana ni malaya. Ki ukwel mimi nilimkatalia nikamwambia Mi ni wake mpaka kifo kitakapo tutenganisha, wala hakuamini macho yake.
Kwa sasa anaonekana yuko at least normal ki akili na leo ameenda kazini. Yeye binafsi ni muumini mzuri na anapenda kwel kuimba na kumsifu Mungu. Naomba ushauri wenu tafadhali.
Kapimeni tena na majibu yakiwa ni hivyo hivyo basi mnaweza kuachana. Ndoa inaweza vunjwa iwapo mmoja ana ugonjwa usiotibika.

huwa sinaga imani na mtu aisee ningenyamaza kimya au niende mbali sana na ninapoishi kwa ushauri nasaha napiga na ndomu nihakikishe mtoto anazaliwa mzima hii ni zawadi tosha tu hamna haja ya kuoa mwingine!1pole kwa masaibu hayo makubwa
Mungu ndio amekulinda hadi leo
cha msingi mpende mkeo,mtunze vema na afuate shauri zote za kitabibu ili ajifungue mtoto asie na maambukizi
tumia kinga sasa kama condom, romance hizo acha
mpokee mkeo,usimnyanyapae au kumsema kwa watu.
kama mna family doctor mtafute kwa ushauri zaidi..
Chezea Natalia wewe, hiyo china ni mwanzo tu bado hajakuelezea alivyopokelewa na benzi nyeusi airport na msafara wa mafisadi,, business class seat kwenye KLM ya enzi hizo walizokaa uncle na mama yake nat,, bila kusahau zile check ups walizofanya germany, london na paris wakati wanataka ku prove anaumwa ugonjwa gani...
Ila jamani Ukimwi usikie tu kwa watu,, temea mate chini usikutokee, japokuwa kuna magonjwa yanatisha zaidi kama kansa, figo etc but ukimwi bado unasimama kama world biggest threat popote utakapoenda wanauheshimu Ukimwi
AIDS took my uncles life it was early 1990s ,I was devastated,nilikuwa high school .wakati huo AIDS unasikia tuu but that was home my uncle ambae always nilikuwa nasema if anything happens to my mom he will be there to take care of me.He was humble,giving and lovely yaani mama angu alikuwa Analia anakaa Kwenye bathtub anamiomba mungu usiwe AIDS well it was AIDS claiming nu uncles life .Alianza kuumwa kichwa,kichwa yaani mama angu akasikia kunadawa China akampeleka Huko wapi ,alikaa Huko kwa Muda wa Miezi 3 .siku anarudi kwa kweli sikwenda Aiport my mom driver na uncle zangu 9 ( I was blessed with a lot of uncles ) basi nipo nyumbani chumbani naona gari Hilo kuchungulia dirishani Kwenye Geti dah,my uncle yaani amekwisha kabisa yaani wamenipa kibahasha tu abebe ,basi yaani mama angu spent massive a
Amount of money to make him happy .my uncle alikuwa 38 years old .Basi mama akaamua akakae kwake and make him comfortable na ale balanced diet .Lakini kwa kweli it was the worse experience ever na Kuanzia hapo nikaacha kuwa na boyfriend yaani nilichanganyikiwa mnoooo.AIDS took my no 1 uncle I will never forget that .Kumuona mama angu anahangaika namna ile my mother cried almost everyday .AIDS took my uncle march 2 1993 .Nilijifunza kuwa na mtu mmoja na huyo ndio
Mume wangu mpaka sasa.AIDS is not a laughing matter it kills and destroys.
aisee hii situation haitakaa ikutoke kichwani pole sanasana mlindeni mtoto asije athirika huu ndio ukumbusho wa ndoa aisee.Habari zenu wana JF.
Poleni na mihangaiko ya wiki nzima na leo hatimaye mmerejea kulijenga taifa. Jamani nimejitokeza leo kuwaeleza true story ya maisha yangu na kama kuna ushauri basi nitaupokea. Mimi nilioa kwa ndoa takatifu mwez Sept 2012. Ilipofika Nov 2012 Mke wangu alipata ujauzito na kila m2 kati yetu akawa na furaha.
Sasa ilipofikia muda wa kwenda clinic kama ilivyo ada mnatakiwa kuwa wote ili kuweza kupata nasaha na hatimaye kupima maambukizo ya HIV. Baada ya yote tukapima na yeye Mke wangu akakutwa anaishi na virus va UKIMWI na mimi niko salama kabisa. Kwel alilia sana na Nurse akapata shida sana ya kumbembeleza hatimaye akatulia na tukatoka akwa na uso wa tabasamu bandia.
Tulipofika nyumban kilio kilianza upya na mimi nikionekana usoni sina hata lepe la hofu wakati moyoni nilikuwa naumia sana. Baadae ucku akaniomba kuwa kwa sababu Kanisani tulifundishwa kuwa ndoa yaweza vunjwa kama mmoja wapo akionekana ni malaya. Ki ukwel mimi nilimkatalia nikamwambia Mi ni wake mpaka kifo kitakapo tutenganisha, wala hakuamini macho yake.
Kwa sasa anaonekana yuko at least normal ki akili na leo ameenda kazini. Yeye binafsi ni muumini mzuri na anapenda kwel kuimba na kumsifu Mungu. Naomba ushauri wenu tafadhali.
Huwa watu hawaogopi yaani mtu Umeoa mwanamke mwingine,wanawake wanagombania mwanaume .Why ?ukipenda tulia