mshikachuma
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 2,853
- 638
pole.vunja ukimya ongea naye mwambie sio kuwa hupendi aende saloon,ungependa afanye hivyo ila kwa kiasi!saloon isimfanye akasahau majukumu yake mengine kama mama na mke.
fanya maombi kimya kimya muombe mungu amfungue mkeo,anasumbuliwa na pepo la ushindani...kujiona expensive...huu ni ubinafsi au kapata mwanaume mwingine?
Imenichekesha hii.
and why is that?
Siyo siri mwenzenu nimechanganyikiwa na sielewi hatma ya ndoa yetu.
Nashindwa kumwelewa mamito wangu! [mama watoto wangu] Tuna miaka 5 ndani
ya ndoa yetu,na tumebahatika kupata 2 kids. Lakini akiaga kwenda salon tu,basi sahau
kama una mke! yaani atakaa uko from morning till down. Na kinachonisikitisha zaidi ana
penda salon za HIGH KLASS- mikocheni,masaki na mbezi ambazo nafikiri ni very expensive.
Mwenyewe kajipangia Jtano na Jpili [yaani x2 kwa wiki]. Jmatano anafanyiwa pedicure,
manicure,na full body srub. Jpili anapendelea kusukwa nywele ndogondogo hivi ndefu au wana
mshonea nywele fake za wazungu na zinakuwa kama zake original,akimaliza hapo anaingia
massage room na anafanyiwa massage. siku hizo anarudi home saa tatu hadi saa nne usiku.
kuna siku nilimshuhudia analipa billservice yake karibu tsh.laki mbili. Nikimgombeza tu anajibu
ulinikuta na maisha haya before na pesa ninazospend ni za kwangu from my job. mmmmh mwe
nzenu ndoa yangu iko matatani au mie ndiye nina matatizo? -Nawasilisha
Kumbe kama ulimkuta akiwa anafanya hayo, kinachokusumbua leo ni nini? Ungetaka kumbadilisha basi ungefanya hivyo tangu kwenye uchumba. Kwa sasa ni too late. Wanaume wengi huwa ni wanafiki, ukimpenda mwanamke basi unajitahidi kuonyesha kwamba umeridhika na anayoyafanya hata kama yanakuboa, hatusemi ukweli kwa kuhofia kumkosa. Ukishampata ndo unakunjua makucha, hapo utamlaumu bure huyo mwanamke.Siyo siri mwenzenu nimechanganyikiwa na sielewi hatma ya ndoa yetu.