Mke wangu na "Mheshimiwa Mbowe!"

Naomba mwongozo wa Spika! Kikanuni tunapokaa bar, pale New Africa, kuwe na posho ya kikao maana tunajadili masuala mengi ya muhimu kwa familia.
Naunga mkono hoja, asilimia mia.
 
Inaonekana wewe si muaminifu kwa mkeo na ndo maana hupendi ongozana nae
 
Inaonekana wewe si muaminifu kwa mkeo na ndo maana hupendi ongozana nae
Kwa uaminifu maana yake nini? Nikiwa naye nisifanye au nisifanye hata asipokuwepo? Mimi nataka niwe muaminifu ndio maana nataka niwe na uhuru na nisuutumie huo ndio uaminifu. Wewe kama huwa unamlinda ili asifanye huyo ni muoga sio muaminifu.
 
Sasa kanisa na mambo ysako binafsi ni kipi unakipa kipaumbele? Usioe kwa ndoa tafuta small house na ujitahidi wife wako ajue.
Mkuu baada kutekeleza ushauri huu lazima kitafuata kile kilichotokea Sudan, yaani kugawanyika ecoli ya kaskazini na ecoli ya kusini.
 
duh! Interesting sred! Very creative anywyay! Big up E.coli lazima bora muandae hadidu za rejea halafu mpe shemeji ubaba kivuli! Kwani ukivuli utakusaidia sana kupata tathmini ya mwenendo wako binafsi na mustakabali wa familia yako! In other words take it positively.....
 
Mkuu hadidu za rejea si tulikubaliana siku ya ndoa kuwa tutakuwa mwili mmoja, sasa yeye analeta kambi ya upinzani ndoani hapo si ni kukiuka viapo?
 
Back
Top Bottom