Mke wangu mzunguko wake wa hedhi hauko sawa

abguy

New Member
Dec 19, 2020
3
3
Mke wangu anatatizo la kukosa hedhi kwa muda mrefu yaani uchukua miezi 3 Hadi minne na akianza kupata tumbo chini ya kitovu lina muuma kupita kiasi na wakati mwingine hedhi yake uambatana na mabonge na damu nyeusi nimejaribu kwenda hospital kadhaa lakini tatizo halijapatiwa ufumbuzi huu ni mwaka wa tatu sasa naombeni msaada iliniweze kulimaliza hili tatizo ndugu zangu.
 
Poleni Sana mkuu

Jitahidi umuone Daktari Bingwa wa magonjwa ya akina mama (gynaecologist) ili uchunguzi wa kina ufanyike shemeji apate matibabu stahiki.

Best wishes
 
Kama ilishawahi kumkuta shemeji yenu hii Hali waone BF SUMA UNAWEZA PATA PA KUANZIA MKUU
 
Back
Top Bottom