youngashley
Senior Member
- Apr 26, 2013
- 187
- 52
Ndugu zangu, naombeni msaada mchumba wangu anatatizo lakutoka vitu vyeupe kwenye uke wake, nikama mafuta ya mgando hivi.
Pia wakati mwingine hutoka mabonge ya damu yaliyoganda nakuwa kama ngozi ya kuku na kutoa harufu kali, na hiyo hali ikimpata anapatwa na maumivu upande mmoja wa nyonga kiasi cha kushindwa hata kutembea.
Pia akiingia hedhi maumivu anayosikia nimakali mno, mpaka kupelekea kutapika, kupatwa na kizunguzungu,
Pls msaada namna ya kumaliza hili tatizo, naye awe na furaha kama wengine pls
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app