Hospital si kagoma eti hataki kupgwa x ray, mimba alijpma tena mm spo akaja npa taarifa tu ana mimba..bt kinachonikera mi ni kutokuonesha kunijali kama mumewe...sku moja nlihitaji tunda nkaambiwa nifanye haraka kwan hajisikii kufanya khaaaa.
Hebu tafuta muda umvizie na umchungulie maumbile yake...
Unajua huu mwaka wa mabadiliko si ajabu nyeti zake zimebadilika na kuwa za kiume...
Pengne labda ana jini kuna dada mmoja aliwahi kutoa ushuhuda alikuwa anataaman kulala muda wote kwan akilala alikuwa anaingliwa na anaskia raha sn yaan mpaka kazin alikuwa akpitiwa usingz tu anaingliwa basi akawa ana enjoy sn kumbe lilikuwa jini
wewe utakuwa mwanafunzi wa kemia tukudadekii mimi angeniambia hvyo nampa mingumi na mimba yake
wewe utakuwa mwanafunzi wa kemia tu
Hebu tafuta muda umvizie na umchungulie maumbile yake...
Unajua huu mwaka wa mabadiliko si ajabu nyeti zake zimebadilika na kuwa za kiume...
Na akiamshwa kura yake asipoteze ampe Jembe JPM.Usisahau kumwamsha tarehe 25 October
Mbombo ngafu