Mke wangu muda wote ni kulala

Mke wangu muda wote ni kulala

EL ELYON

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2013
Posts
1,675
Reaction score
2,115
Habari wadau,

Mimi nna mke wangu now tuna miaka nane na mtoto mmoja, tatizo mke wangu huu ni mwezi sasa yeye akitoka kazini ni kulala nikirudi au tukirudi wote yeye break ya kwanza mi nipo sebuleni ye kalala chumbani, akiamka ni kula na kuoga na kurudi lala,wkend ndo hivyo ni kulala tu mi nipo sebuleni ye kalala room no sex no what nkimuuliza anaumwa alikwenda hospitali wakasema haumwi.

Alinambia ana mimba but cha ajabu nilimwambia akapime nijue ni ya mda gani aligoma akidai hataki kupigwa x ray kwasasa labda mpaka baadaye sana,zaidi alijipima mwenyewe tu,shughuli zote anafanya dada wa kazi,tulikuwa tunaoga wote bt now anaoga mwenyewe kimyakimya kisha anakwenda kulala nikistuka kwenda mcheki nakuta alishalala zamani sana.

Kazini tulikuwa tunatoka wote bt now mi naoga ye anavaa fast anaondoka akirudi ni kulala tu yaani simuelewi wakuu sjui tatizo nini, kuna mtu alinambia ni jini mahaba. Ushauri wenu maana nahisi taanza kuchepuka, nimeshakaa naye sana kumweleza bila mafanikio na hata mda huu nilimwamsha nikaja naye sebuleni kumweleza but wakati naongea ye anasinzia tu wakati nimetoka kazini jioni nimekuta kalala,sasa aliposkia mtoto analia ye mbio kaenda ndo jumla kaenda kulala hakurudi tena.
 
Hiyo ni mimba ndg wala usimhukumu! Tafuta mtu wa jinsia ya kike wanayeheshimiana mweleze aongee nae japo akubali kwenda hosp
Ila hizo tabia zingne vumilia hazitaisha leo coz zinaletwa na mimba
 
ana muda gani tangu aanze hio tabia??

inawezekana mimba ikawa ndio sababu ya yeye kujiskia uchovu..

ngoja tuwasubiri wataalam wa hili
 
Karibia mwezi sasa bt mimba ya kwanza mbona haikuwa hivi...aisee
 
Mkuu ni vyema mkaenda hospitali mkachukua vipimo ili ujue kama ni mjamzito au la , au kama kuna kitu kingine kinamsumbua .
 
Ingekua anaigiza kulala basi una haki ya kulalamika.km kapima kakuta yuko preg then shukuru Mungu mwombee.the fact that analala ya ukweli then no nid kuworry.
Ua about to b a father of two man.....kip smiling
 
Hospital si kagoma eti hataki kupgwa x ray, mimba alijpma tena mm spo akaja npa taarifa tu ana mimba..bt kinachonikera mi ni kutokuonesha kunijali kama mumewe...sku moja nlihitaji tunda nkaambiwa nifanye haraka kwan hajisikii kufanya khaaaa.
 
Wanzako wana mkafin kazin huyo.....hakuna cha jini mahaba wala nn....stuka
 
Hospital si kagoma eti hataki kupgwa x ray, mimba alijpma tena mm spo akaja npa taarifa tu ana mimba..bt kinachonikera mi ni kutokuonesha kunijali kama mumewe...sku moja nlihitaji tunda nkaambiwa nifanye haraka kwan hajisikii kufanya khaaaa.

Jini huyo mkuu
 
Mimba yenyewe natabiriwa tu pengne wk mbili au tatu aisee huyuuu huyu ngoja nivute sku tu.
 
Hospital si kagoma eti hataki kupgwa x ray, mimba alijpma tena mm spo akaja npa taarifa tu ana mimba..bt kinachonikera mi ni kutokuonesha kunijali kama mumewe...sku moja nlihitaji tunda nkaambiwa nifanye haraka kwan hajisikii kufanya khaaaa.

kwa lazima x ray itumike? huyo mwongo sio mimba wala nini shtuka mkuu anza kufanya uchunguzi.

Hahaha. Bado najaribu kuunganisha u-jini mahaba na kulala, ila naona nyota tu.

hilo likimpata mtu linakuwa linamridhisha kabisa hadi anakuwa hana hamu tena na mwenza wake.
 
Back
Top Bottom